@sportsextra_tz:

SPORTS EXTRA
SPORTS EXTRA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:30:39 GMT
73879
3985
62
40

Music

Download

Comments

user5414334858324
MACAVERY :
mm yanga ila simba wametufunga kihalali wala hakuna longolongo
2026-10-13 08:24:33
20
mr.mjeda0
Mr mjeda :
Mm nashindwa kuelewa simba wametufunga lakn amani hawana
2026-10-13 08:56:25
10
user6025636933539
phil sports wear :
real story
2026-10-13 10:46:29
0
ismailayubu1
ismailayubu851 :
simba bingwa
2026-10-13 08:26:22
7
rago_official2
Rago_official :
mbona simba tukifungwa hatujawahi kuwa na mambo mengi hivi😂😂
2026-10-13 08:22:04
11
sponsor.jr4
Sponsor JR :
pamoja sana broo
2026-10-13 07:43:21
2
samwer017
SAMWER 🇹🇿🚫 :
Ukwely tuliwaona walikuja😳😳
2026-10-13 08:18:28
2
annahmaria457
AnnahMariah🦋💜 :
najua aiwahusu ila nimelipiwa king'amuzi na semaji Ahmed ally🥰simba nguvu mojaaaaa🔥🔥🔥🔥
2026-10-13 09:43:42
2
hamishassan36
Hamis Hassan💫💫 :
kama kweli hivi
2026-10-13 08:05:34
2
user6340080090076
Mohamed kessi :
kweli kabisa
2026-10-13 08:50:51
1
1onlymrsmehboob
Mrs Mehboob Jaffer :
aisee soka la bongo bado sana....
2026-10-13 08:43:46
1
asaph_0034
Asaph_@Tz :
una boda wako broow
2026-10-13 11:30:28
0
vic.simon2
Victoria simon :
kweli kaka
2026-10-13 11:10:49
0
manscobas1
G 7 :
unapata shida kutumia energy kubwa kuhusu watu wasiojua mpira
2026-10-13 12:00:01
0
mbappe65432
Mr Nonchalant :
simba bingwa
2026-10-13 11:37:30
0
mayasasimai
mayasasimai :
Ally kamwe atawajibika
2026-10-13 09:46:22
0
ngalalumba1
Boy Man :
kwani kufungwa kwenye mpira ni ajabu? mbona mpira kufungwa.kufunga na droo ni kawaida tu
2026-10-13 10:23:29
0
moxi_walker
moxi_walker :
Simba ni simba tuu kocha wao ana mbinuu alf saiv wana leta maneno
2026-10-13 08:56:19
0
user6371730485655
True Faith :
Yanga ni ccm tu kwa propaganda
2026-10-13 09:11:02
0
mohamedhemed2311
Mo 37 :
kazi wanayo
2026-10-13 13:33:41
0
seniorjpfarm
J :
Walizan south tulienda kupiga show[Tears of joy][Tears of joy] tulienda kuisaka pumzi
2026-10-13 09:34:24
0
motion_tz9
fans of motion tz :
propaganda za bongo ni jau
2026-10-13 09:04:35
0
k.kilima
Aub89 :
coco pichi
2026-10-13 08:16:25
0
realpuresoul99
🤍سيا🧸 :
Ukitaka uwaweze ma influencer wa yanga wape msosi tu mwanzo supu sasa mihogo njaa mbaya jaman
2026-10-13 07:54:47
3
ellsherfrancis
Jigga'sBoe :
naww una boda boda wako!?
2026-10-13 08:35:02
0
To see more videos from user @sportsextra_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About