@dhahabuonlinetv: Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomoni Itunda, amewaonya wakazi wa jiji hilo dhidi ya tabia ya kutema mate ovyo katika maeneo ya umma, akisisitiza kuwa watakaobainika kufanya hivyo watatozwa faini ya shilingi 200,000. Itunda amesema hatua hiyo inalenga kuimarisha usafi wa mazingira na kulinda afya za wananchi, huku akiwataka wakazi wa Mbeya kuzingatia kanuni za usafi na kuepuka vitendo vinavyoweza kuhatarisha afya za wengine. Ameongeza kuwa mamlaka husika zitafuatilia utekelezaji wa agizo hilo na kuhakikisha wanaokiuka wanachukuliwa hatua kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa. #dhahabuupdates #dhahabuonlinetv
DHAHABU ONLINE TV
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:39:39 GMT
Music
Download
Comments
Ayaan mom🥰😍 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Nimecheka Leo
2026-10-13 16:38:17
0
seekerman1 :
Mbeya ipi hi ya mwanjerwa au kuna nyingne
2026-10-13 14:09:07
4
sumaissaya :
mmmmmmmmh
2026-10-13 14:40:08
0
Gwaki Masetta :
Who are you 👀
2026-10-13 15:45:24
0
GEN :
Kwa wajawazito wafanyaje?
2026-10-13 09:00:06
1
casto sichone :
tulisha sema Hawa CCM wanatuona kama vikaragos
2026-10-13 10:16:25
8
Rich :
Mbeya yenyewe ilivyo sasahivi ni
mate tosha kabisa.. Ni kwetu lakini hatua hii bado
2026-10-13 15:08:06
3
nyasafarmhouse :
Jamani mbeya zipo ngap? Ni hii hii yetu au nyingine?
2026-10-14 09:08:01
0
mussa chahe :
waktapka fain shngap au milion
2026-10-13 10:47:00
1
mdusiamani :
mbeya ya mavumbini au nyingine
2026-10-14 09:37:43
0
waziriitambu :
iposiku mtajua tz niyakwenu au niyakwetu wote
2026-10-13 18:11:27
1
MBEYA_FINEST🍃 :
Mbona kam amelewa 😅
2026-10-14 08:01:12
0
the sky :
kama Elimu ndio Haina msaada hvi basi kuanzia leo hakuna mtu ntasomesha
2026-10-14 08:14:18
0
user3260162144693 :
Tanzania nchi itapata maendeleo kweli kwa viongozi hawa
2026-10-13 08:21:20
0
Jeff :
walikuwepo bana, lakini Leo hawapo.
ila Mbeya ipo, people will come and go
2026-10-13 17:03:04
1
Omary :
nataka kujua bei ya kutema kohozii shingap..,?
2026-10-13 19:11:36
1
Daniel Frank :
si mseme ukweli kwamba mnakusanya pesa kwakia misaada imezuiliwa
2026-10-13 09:13:02
1
Jux umeme :
nataka kujua mkitemana kwenye mahusiano faini ni xhingap kwa mbeya na waweke lipa namba kwenye nguzo
2026-10-14 04:44:42
0
ELDANY FX 📈📉 :
kwan mbey gani anaongelea huyu mzee
2026-10-13 23:30:37
0
Akwilina Mbaza :
Pwani ndio wanatema mate mbeya hawatemagi mate
2026-10-14 03:19:21
0
tumainmbukwa :
mbona tumefungwa wote sasa kwa mbeya hii na kipato hikii
2026-10-14 04:10:48
0
Ipyana kapesa :
wanatafuta uhalali wa kodi ya mate kazi tunayo.
2026-10-14 07:21:10
0
Wansenga Mwambuzi :
jana tu nimetema mate chemba imezibuka soko kuu la mwanjelwa kwa hio mlitaka nimezee mate hayo eti
2026-10-14 03:40:27
0
♍mg :
kwanza mbeya ipi vijijini au mbeya mjini
2026-10-14 05:12:59
0
chazzymachupichup6 :
barabara mumejenga
2026-10-13 12:10:28
0
To see more videos from user @dhahabuonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.