@kallasskincare: MAMAANGU JAMAN🤦🏻‍♀️🙌🏽🙌🏽@MAMA SARAH

KALLA’S
KALLA’S
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:47:03 GMT
439676
35331
1110
1334

Music

Download

Comments

cheka128
Mamaa♥️🦋 :
Muha wangu nilimuwekeaaa hvi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ikaishaaaa
2026-10-13 16:53:34
26
imteemah3
Mrs Twalbu♥️💍 :
bomoa ulipe🤣🤣🤣🙌
2026-10-13 09:36:42
174
bintiwakitanga
madam :
Nimecheka eti hana kawaida ya kulipa deni ila mama Mkwe [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 17:41:42
0
prettysia32
Prettysia :
jitu limenikimbiza kama linanidai pumzi
2026-10-13 10:00:48
265
miss.selfcare8
Miss selfcare :
yani huy mama angu mkubwa kabisaaa jamn😂😂😂
2026-10-13 08:22:39
254
user4184613285923
user4184613285923 :
next plz
2026-10-15 04:01:02
0
user9374027182199
ve :
ila mam bc tn😂😂
2026-10-14 15:48:45
0
samirah7712
samirah :
yule kijana au muha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 09:11:58
0
abd.8804
abd -88 :
muha, hapa hapati helaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 10:41:26
0
beatajoseph137
Beata Joseph :
huyu mama amenikumbusha mdada moja tulikuwa tumepanga nyumba moja alikuwaga anaheka heka za madeni 😁😁😁
2026-10-13 09:29:51
289
johndollar3601
John dollar the winner 36 :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 09:12:58
0
user85936526190657
Mamy C💕 :
😂😂😂yule sio mvulana ni muha mama utaacha lini haya mambo jaman🙌
2026-10-13 07:48:40
451
amarah542022
Amarah cute💞💞 :
Mara paaaa muha karud msib tunao au hatunaaa😅
2026-10-14 07:33:35
12
meemah1305
Meemah🦩 :
Wenyewe mmevaa sare😂😂🙌🏻
2026-10-13 07:34:14
44
ziada_cosmetic
ziada _cosmetics :
muha chukua sufuria zako hizi hapa ugomvi na we sitaki😂😂😂
2026-10-13 09:44:26
91
user1675631801971
rose 🌹 :
ivo vijora vya ivo napataje vizuri
2026-10-14 19:40:44
5
shemtoi97
SHEMTOI FINEST % :
30/30 %
2026-10-13 13:46:01
6
zenajela0
zenajela :
yaan mm sijui ndio kilaz spend kuwa chachu kwa mtu napend niwe mwaminif jmn waha wang wana enjoy jmn
2026-10-13 13:11:34
34
wardandeka.81
warda ndeka.47 :
Sinaga kawahida yakulipa madeni hiyo ndoyo tabiha yangu😅😅
2026-10-13 12:17:10
12
ceciliatesha202
miss tesha♥️ :
mama anasikia Raha mazoeziii
2026-10-13 13:14:40
6
sadalisa8
lisasada#gmali.com :
waha wakiondoka wameenda awana kawaida yakurudi mpaka kesho 😂😂
2026-10-13 12:38:14
47
cathymachupido
Cathy Machupidoz :
Mambo yapo kabisa ss sahv watoto eti ndy wanashauri wakubwa kuacha mambo mabaya jamani😁
2026-10-13 09:56:24
41
shaabymzara
shaabymzara :
Yani mtu aje mbio anipite mlangoni Mimi nibaki nje ! 😁😁
2026-10-13 17:52:36
9
zamdauhak
Mw🌸n🌺✨ :
Mama Hana mda wa kulipa
2026-10-13 13:51:40
17
neria_06
neria_06 :
saaa tunapika kwenye vifuuu😂😂😂🤣🤣
2026-10-13 12:12:10
17
To see more videos from user @kallasskincare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About