@madam_leila: Miongoni mwa sifa za watu wakali

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 06:53:17 GMT
113145
8816
264
1335

Music

Download

Comments

user63248109678531
user63248109678531 Rosemary :
wasichana wakali tujuane hapa
2026-10-13 07:49:55
482
chimaay04
❤️chimaa_19 :
ungentaja 2 jina walai na hasira zng plus being straight forward
2026-10-13 08:43:10
1
lastbornbaby6
lastborn :
na nd wanakuwa hawana bahati 😂
2026-10-13 08:22:20
86
flowerystore1
FLOWERY STORE :
Comment section kila mtu mkali eenh nachoka mm😂🙌
2026-10-13 09:08:52
8
salllllyyy5
Salher🌸 :
Mimi sio mkali tu ni katili😂
2026-10-13 08:30:49
35
qeen.of.zanzbar
Queen of zanzbar :
Wasichaa wakali tujuwane hp😅
2026-10-13 10:25:56
25
realbardest
IPHONEMASTER :
Hapa wote watakuja kusema ndio wao 😅😅😅😅😅😅😅
2026-10-13 08:42:48
17
user7627200446739
user7627200446739 :
mi mpole ila si kuigiza. I'm naturally that way
2026-10-13 10:47:09
0
nurumatano0
@nurumatano0 :
mm ni mkali kuliko mzazi wake🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-13 07:50:39
22
angelmars28
Angel mars ❣️ :
kweli mama , yaani sisi wakali Watu poa sana , hatuna mambo mengi
2026-10-13 07:51:28
19
neemakidindima
nejaki :
for sure absolutely 💯
2026-10-13 11:41:32
0
graciousfaith99
Graciousfaith99 :
kisaikoloji mtu yoyote ambaye ni mkali ana roho nzur kuliko mpole watu wakali wanatumia ule ukali kuweka watu mbali nao wawaogope ili wasiwaumize mana watawaonea huruma mwisho wa siku
2026-10-13 08:45:26
15
jmine59
J.A.S.M.I.N.E….🦋🩶🖤 :
Aaaaah 🙌 kheri umetutetea
2026-10-13 08:42:46
6
ukhty.maryamu
Ukhty maryamu :
kweli huyu ni mm kbs 😅😅😅😅 ila wanakimbia sasa hawataki
2026-10-13 07:46:01
12
alimama.everything
Alimama everything :
very true
2026-10-13 08:02:17
0
uservumy
V kidot🥰 :
mm nmkalii mnoo ilaa nampendaa mume wangu🤣🤣🤣
2026-10-13 11:19:00
1
angel.silayo1
Angel Silayo :
Mm ni mkali Hadi mume ametoroka jamani nimejaribu mbinu zote a change wapi nimeambulia patupu
2026-10-13 11:39:38
0
salmamgohele1
salmamgohele :
nakupenda bule mdam unasema kweli kabisa
2026-10-13 08:43:03
2
davinwamayo
Davinah G :
ukweli mtupu mamaa but hatuna bahati hata siku moja
2026-10-13 08:48:36
0
madamceo1234
CEOheaven255 :
Ndo tunaoongoza kwa kuachwa coz sio kila mtu anawez kuishi kwenye mipaka na misimamo yetu
2026-10-13 09:46:12
2
erras.erras.erast
Erras Erras Erasto Erasto :
Kweli kabisa, mke wangu mkali kama pilipili 😂Nikweli ana upendo wa Agape
2026-10-13 09:26:33
2
user5400117972862
user5400117972862 :
nko hapa ujinga sitaki. yn madame Leila uko sawa kabsa
2026-10-13 10:19:08
1
liliqn19
liliqn :
mbona ni Mimi uyoooo jamani
2026-10-13 09:14:15
1
suzieadliani
Suzie🦋 :
Umeju kuongea ukweli dada❤️❤️
2026-10-13 09:57:42
1
mamaafricadesigner
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Tumefikiwa😂
2026-10-13 08:13:22
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About