@cookingwith.mirah: Kumbuka, jikoni tunajifunza kila siku. Muhimu ni kujua nini kimesababisha tatizo na namna ya kuliepuka wakati mwingine. SWALI: Wewe umewahi kupika kitu kikakataa kabisa kutoka kama ulivyotarajia? 😂 Tuambiane kwenye comments!

Mirah🍃
Mirah🍃
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 07:05:56 GMT
80387
1310
17
96

Music

Download

Comments

momagwal..0
🦋SHEYMAAH 🦋 :
Kwaio umekosea tena😂😂😂 haya rudia wanafunzi tujifunze
2026-10-13 15:54:10
4
cute.ivon
It’s von🦋🦚 :
please
2026-10-13 11:26:56
0
perfume_parlorr
🌸PERFUME_PARLOR🌸 :
Thanks kwa elimu
2026-10-13 07:36:22
2
ivvana500
ivvana :
jmn mm nikipk kachori viazi vya chin vinarojoka vyote naambulia vile vya juu tu nisaidien vicenza ili nisizid kupata asara😳😳
2026-10-13 15:33:34
1
mr275175kigoma
natalia lyimo :
asnte
2026-10-13 15:21:35
0
jackprimesuno
jackprimesuno :
hiyo sio egg chop 😂😂😂
2026-10-13 08:20:22
0
cute.ivon
It’s von🦋🦚 :
ni viungo gani hivo umetia?
2026-10-13 11:26:46
0
silvanusnyangi
MR. Casio :
blanching method
2026-10-13 12:10:59
0
To see more videos from user @cookingwith.mirah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About