nishai tumwa na dad nikaite mzae mwingine na since he had massive dogs na I feared dogs nikafika kwa gate then went back home nikasema sijampata....in the evening the man came home,daddy anamuuliza umekua wapi na nilikua nimetumana uitwe and he was like 😳😳😳 mimi nimeshinda home na hakuna mtu amekuja...wueeeeh nilipigwo walai na nikaambiwa nikaandike composition 😭
2026-10-18 02:00:31
0
Chris kerry :
my favorite comedian
2026-10-13 07:53:44
30
Lyrah B :
Ati mara ya mwisho kupigwa na mzazi ni after nimezaliwa ndio nilie🤣🤣😂
2026-10-14 12:05:34
11
Emmanuel Junior :
Niwafukuze tuishi uku 😂😅😂
2026-10-18 05:21:06
0
@toxified :
siku hizi davie anapenda kusema my love🤔🤔
2026-10-14 12:16:24
4
trendy_alumini🇰🇪🇰🇪 :
ati ufukuze wazazi ndio unlike dem mkae na yy😂😂😂aki devie ww
2026-10-16 18:31:05
1
peshy :
ati duodenum 🤣🤣
2026-10-13 14:43:54
6
Benjamin mumo :
Davie the goat,, 😂😂
2026-10-13 17:48:43
3
Grace Wairimu :
ni mbaya
2026-10-15 15:45:12
2
user9484719273934 :
moto 😅
2026-10-13 17:12:33
2
niva ☠️king von the badest💪🙏 :
your big fun hadi naweza penda nifanye na ww comedy kamoja🤣🤣🤣
2026-10-13 12:44:48
2
Kenyan yamal 🔥💯 :
asantih 👍kwa kunitag 💯🤗
2026-10-13 09:37:30
2
Mariah018🇭🇹🇰🇪🩷 :
Wui Davi 😂😂😂😂😂
2026-10-14 17:47:51
0
papetual :
Tangu lini Duodenum ikakuwa in the pulmonary artery 😂😂😂