Me kwenye graduation ya mtoto wangu tukienda na mzazi mwenzangu inabidi ulinzi uimarishwe eneo hilo😀
2026-10-13 08:58:25
1150
prety Mumer🥰 :
nani kaona mtoto ni mrefu kuliko baba😂🥰🥰
2026-10-13 09:20:21
1173
Agnese collection :
mimi na mzazi mwenza kila tukikutana ni vikumbo tu 😁😁😁
2026-10-13 08:38:52
831
Praise😍😊 :
Macho ya mama na u handsome wa baba🥰 aiii ila mama ake mrembo sana jmn😂😂😂
2026-10-13 08:23:50
321
ASAM COLLECTION 🦋 :
MM NA MZAZI MWENZANGU HAZIIIVIII YAAN MDA WOWOTE ZINABONDWA
2026-10-13 09:28:13
163
Afya_Peaktz :
Mtot amekuwa mrefu kuliko baba ake🔥
2026-10-13 09:25:32
53
zayfa :
alierudia kuangalia mara 9 km mimi tujuane 🙌🙌
2026-10-13 09:34:26
113
Pretty Hawa 🦒 :
A list wanamuangalia mtoto wa Alikiba kwa kumtamani😂😅
2026-10-13 09:46:59
80
farry :
sasa mm apa sielewi nichague yupi BABA au MTOTO😆
2026-10-13 09:40:04
79
@cute :
mzazi mwenzangu kaniblock na mtoto anae yeye nashinda naongea na ndugu zake tu kupata taarifa za mtoto
2026-10-13 08:53:35
106
🔥🍓$UСКiН !N ВIО❌🍓 :
supportive empathetic 😊
2026-10-13 10:18:32
38
sweet♥️mom :
sisi wengine ni matusi tu mungu tupiganie😂😂
2026-10-13 09:05:59
19
Bwana Mande Guelord Boss sage :
[Larmes de joie][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare] unmeona niliyona Mimi!!!!
Ali Baba [Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare][Hilare]
2026-10-13 12:30:43
0
🦋💮Miss VEE 💮🦋💮 :
This boy and Alikiba look same sae especially apo kwa macho ukiangalia bila haraka wueeh supuu sanaa🥰🥰🥰
2026-10-13 13:43:11
2
DMX :
Very much impressing.Big up bro Kiba👏👏👏
2026-10-13 11:48:33
2
atu nelsonbb :
Kahandsome
2026-10-13 09:59:23
7
Gichnitto Joakim :
congratulations brother Ali Kiba Asente kwa mungu cool family,Amina.
2026-10-13 13:12:25
1
Dr Hannah stanis :
Ya pas les commentaires en français ici 😏😏😏😏
2026-10-13 12:40:05
6
luly smiley❣️ :
mtoto anafanana na wazaz wote wawili
2026-10-13 09:53:58
47
cute merry🥰🥰 :
mm na mzaz mwenzang
2026-10-13 08:46:54
35
yusterluca70 :
uzuri wa alikiba hakatai watt awe amefanana au hajafanana hana historia ya kukataa watt😊
2026-10-13 09:04:45
132
Lehan_Cake 🥰 :
MM NA MZAZI MWENZANGU HAZIIIVIII YAAN MDA WOWOTE ZINABONDWA
2026-10-13 11:12:37
11
zuun :
tusipo angalia motoni tunajikuta wenyewe ali kiba yupo na tasbih mkononi😍😍😍
2026-10-13 10:27:15
52
CHITENDA :
Hapo lulu diva anasema ngoja amalizane na D voice
2026-10-13 09:09:22
60
To see more videos from user @mchb_official, please go to the Tikwm
homepage.