@islamicswahilinet: ni siku 10 zipi ambazo Allah sw ameziapia ndani ya qur’an? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 08:38:05 GMT
Music
Download
Comments
LIPS DDD🦁🦁 :
Allah
2026-10-13 08:51:28
2
kindamba 55 :
siku za 10 za dhullihijja
2026-10-13 20:27:27
1
شطخ :
mashallah
2026-10-13 11:48:09
0
phaliyah :
masiku 10 ya mwanzo mwa dhul hijjah
2026-10-14 16:38:51
0
Aisha :
mashaallah
2026-10-13 09:34:18
1
@"mseto💀 :
🥰🥰🥰
2026-10-13 08:53:49
1
abuu musabi :
🥰🥰🥰
2026-10-13 11:18:05
0
Sarafina :
وَالْفَجْرِ وَلَيَالٍ عَشْرٍ
Wal-Fajr, wa layaalin ‘ashr.
Maana yake: “Naapa kwa Alfajiri, na kwa masiku kumi.”
📖 Suratul-Fajr, aya ya 1–2 (Qur'ani 89:1–2).
Masiku hayo kumi ni yapi?
Kwa mujibu wa tafsiri nyingi za wanazuoni, masiku hayo ni masiku kumi ya mwanzo wa mwezi wa Dhul-Hijjah, mwezi ambao Waislamu hufanya ibada ya Hajj na siku ya kumi huwa ni siku ya Eid al-Adh-ha.
Mtume Muhammad ﷺ amesema kuwa hakuna masiku ambayo matendo mema yanapendwa zaidi na Allaah kuliko masiku haya kumi ya Dhul-Hijjah. (Sahih al-Bukhari, 969).
Faida: Katika masiku hayo, zidisheni kufanya dhikri, kusoma Qur'ani, kutoa sadaka, kufunga kwa mwenye uwezo, na kufanya matendo mengine mema.
Allaah ndiye Mjuzi zaidi.
2026-10-14 20:14:17
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.