@fitstars_1: Hivi ni baadhi ya vyakula unavyoweza kuzingatia kama unataka kupungua uzito: 🥚 Mayai 🥑 Parachichi 🐟 Samaki 🍗 Kuku wa kuchemsha/kuchoma 🥬 Mboga za majani 🥒 Matango 🍅 Nyanya 🍠 Viazi vitamu 🌾 Oats 🫘 Maharage 💧 Kunywa maji ya kutosha, kula kwa kiasi na zingatia mlo wenye uwiano. Lakini kama umechoka kuanza kila Monday bila kuona consistency… 👀 🔥 JIUNGE NA FIT PROGRAM YETU YA KUPUNGUZA UZITO! Tutakusaidia kujenga mfumo bora wa lishe + mazoezi + consistency ili ufanye safari yako kwa njia yenye afya. 💪🏽❤️ 📲 Tuma DM yenye neno “FIT” sasa upate maelezo na uanze safari yako!

PUNGUZA UZITO NA KITAMBI
PUNGUZA UZITO NA KITAMBI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 09:39:34 GMT
16625
210
4
23

Music

Download

Comments

user4779084695740
mkomazi The great :
hii ni kweli kabisa
2026-10-13 13:59:36
1
phillymaclaud16
phillymaclaud515 :
😳😳😳
2026-10-13 16:12:14
1
To see more videos from user @fitstars_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About