@manyandaafricanpowerr: Tarehe yako ya kuzaliwa si namba tu kwenye kalenda—ni ramani inayoeleza wewe ni nani, tabia zako, nguvu zako, na wapi unakoelekea. Ukijitambua kupitia namba yako, unafungua milango ya mafanikio yako Unajua namba ya maisha yako ?

manyanda african power
manyanda african power
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 09:52:24 GMT
11292
1054
41
39

Music

Download

Comments

johs.isihaka
Johs isihaka :
Aisee Ni kweli Diamond platnum 2 zuchu 22 lionel mess 24 Rihanna 20 Elon musk 28 aisee ni kweli respect manyanda
2026-10-13 10:46:19
3
exaverytito242
exavery :
Respect
2026-10-13 11:47:17
0
tamaduni.street1
Tamaduni Street :
hustle
2026-10-13 11:17:50
0
geofrey9750
Jofrey 🧿 :
asante
2026-10-13 11:08:16
0
nuwaruubusiness
nuwaruubusiness :
mm tarehe yangu sijui nifanyeje naitwa fatma
2026-10-13 10:35:03
1
julianamatemba448
Juliana Matemba :
wa tarehe 6 tujuane kwa like
2026-10-13 11:20:43
1
upatown
little 777 :
hivi jamani 3 inagawanyika au nilale
2026-10-13 10:01:00
1
user4296503197020
filbert :
me ni ezaliwa talehe 2
2026-10-13 10:42:37
1
user8444104343765
Rose Rose :
ni kweli matajir wamezaliwa namba shufwa mfano gsm kazaliwa 2 October 1986 na mo dewji kazaliwa tarehe 8 may 1975.....nipo kundi la waliozaliwa tarehe zinazogawanyika kwa mbili🥰🥰
2026-10-13 12:56:58
0
bimzuri_matata
Bimzuri matata🇹🇿 :
Tuambie Sasa Nini tufanye na nini tusifanye
2026-10-13 12:44:37
0
michael.baraka0
Michael 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 % :
kuna Wengine awana wa zazi tuka zamani, wata juwaje taree yawo ya Ku zaliwa ?
2026-10-13 12:56:13
0
sheby.boy78
sheby boy :
mimi tale 1
2026-10-13 12:15:48
0
nurdinsanga2
nurdinsanga866 :
vipi kama nimezaliwa tarehe 1 na nipo kwenye boashara... sitatoboa?
2026-10-13 12:47:41
0
r_j20260
r_j :
Ndomana nakupenda💋
2026-10-13 12:38:06
0
fatma.ally81
Fatma Ally :
we kaka nakukubali sana kaka yang uwa unanipaga sana furaha na matumain kwa ninayopitia
2026-10-13 12:17:46
0
nickanania796
Nick Anania :
kaka manyanda wewe umesema ukweli kabisa tunashukulu kwa kutukumbusha tutalifanyia kazi
2026-10-13 12:35:23
0
user7561141030508
officie Daniel :
Asate kaka na amini kiukweli,
2026-10-13 11:54:20
0
user229625752131
Michael aloyce :
really mkuu
2026-10-13 10:00:22
0
nyakandi.dady.ils
Nyakandi Dady Ilsam :
sahii
2026-10-13 10:27:29
0
user161613476613nhaga
Nhaga Jr :
mimi date 4 xiku ya alhamis mwezi 9
2026-10-13 10:13:17
0
happydaudi7447
Happy Daudi :
Aminaaaa
2026-10-13 13:00:24
0
jembe2556
Jembe 255 :
haya ikiwa ni mabaki usifanye biashara ?
2026-10-13 11:28:07
0
rose.monoko
Rose Monoko :
mm ,20
2026-10-13 11:13:31
0
africa3018357341815
NGORO YA AFRICA 🌍 :
mm ni kiongozi
2026-10-13 11:07:27
0
luli13878
Luli♒ :
Asante Mungu
2026-10-13 11:43:31
0
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About