Kwan alieambiwa Mimi ni kama Baba yako ni nani jaman😂😂😂😂
2026-10-15 06:24:58
36
HASAO :
mnavyopenda sifa, hii video uliomwambia chukua mike yako naiomba tuthibitishe ukweli wako
2026-10-14 09:20:54
29
My Life Still My Life :
Hatukatai ila hizo ni comedy nakumbuka ilikuwa nyamongo akakwambia toa mkono mfukoni na uwe na nidhamu na ulifanya hivyo na alikuchangisha pesa ya secondary na ulichanga laki tano na hukusema mambo ya mic ichukuliwe. sasa tuambie dira ya maendeleo kwa wananchi mkishika Dola au Nchi
2026-10-15 11:16:32
23
B~TechTz :
😃😃😃kajamaa kana kamba aka.Amesahau kuwa Internet haisahau