Good people just stick with Jesus - you will be free. All others cannot help you in anyway na sio kwa sababu hawataki lakini uwezo huo hawana. Yesu anatosha.
2026-10-13 16:04:25
0
Erwin Rommel :
Je, haya ndiyo mafundisho ya Biblia kweli? Mbona tunakuwa kama Mafarisayo walioweka mapokeo mbele kuliko neno la Mungu? Kristo hakuja kuanzisha madhehebu wala dini hizi zetu. Kwa bahati mbaya, mafundisho ya madhehebu leo yamekuwa ya kijinga na ya kubagua watu badala ya kuwaunganisha
2026-10-13 15:13:41
21
bless🤲 me God🧎♀️ :
mhhhhbb ubaguzi
2026-10-13 17:50:32
0
Silver :
I think God is more than religious groups and has no limits kama hizi, Pastors I think they have to disgraze themselves with religious teachings fence, rather extend extramiles
2026-10-13 19:46:23
1
SUPA LOVE :
kwani jaman mungu c ni mmoja wanamtumikia
2026-10-13 12:43:11
5
Dr Owden (MD) :
Nataka kuoa msabato ila mimi si msabato please, anifuate Lutheran
2026-10-13 14:52:30
8
Victory kasala Kasala :
mm Nisha oa msabato ila mm ni mkatoric. Wakatoric tumsifu yesu kristo
2026-10-13 14:34:23
5
Meli :
1 Corinthians 7:13 - Na mwanamke, ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakubali kukaa naye, asimwache mumewe.
2026-10-13 16:16:16
4
peterandrea873 :
shida tumeaminishwa ndoa ni kanisani tu kumbe sio
2026-10-13 15:33:27
3
Rolax19 :
mimi Ni msabato lakini nimefunga ndoa TAG mke wangu anasali TAG Mimi SABATO Amina
2026-10-13 17:30:32
3
Nemes :
DAH HAYA MAMBO MUNGU NDO ANAJUA BHANA
2026-10-13 16:21:09
2
harrystoretz :
apa Mimi ndo naposhindwaga kuelewa watu wako anavyo tofasiri mandiko...kwahiyo hili andiko la msingiwe nira pamoja nao Wasio amini...nyiyi mnahisi mtu unaye Sali naye dhehebu Moja uyo tu ndo mwamini mwenzio??
ndugu zangu Kila mtu anaye Sali madhehebu ya kikristo anatambulika kama mwamini...na anajifahamu kama mwamini.
2026-10-13 15:42:26
1
MD19181992 :
@MD19181992:Hii sio kwa wasabato tu,madhehebu yote yapo hivyo ,ili wakufungie ndoa lazma wote mkubali imani ya dini hiyo,hata muislamu hafungiwi ndoa
2026-10-13 20:18:01
1
Mdhaifu wa Imani(rum14:1) :
Ni hatari sana makanisa kujitungia sheria nje ya biblia.
Na kutishia watu eti wanauwezo wa kumtenga Mungu na mtu.
warubu 10:17
Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la Mungu na sio maneno ya watu waliojitungia maneno ili kuwafungua watu kwenye boksi
2026-10-13 15:00:59
3
Neko Marts Store :
RC tuna ndoa Mseto☺️☺️unafunga ndoa Asubuhi mchana unaenda msikitini😊 kila Mtu anayakee hulazimishwiii
2026-10-13 19:26:30
1
suzanmoses :
Kwahyo hii inamanisha mtu anaweza amua kufunga ndoa thehebu lingine na still akaendelea kuwa mshiriki wa SDA!?
2026-10-13 13:59:39
1
jnm050 :
Kujihesabia haki...
2026-10-13 16:20:38
1
kal :
Unakuta mtu ni wa imani nyingine, lakini ndo anakupenda. Nachanganyikiwa mjukuu wangu
2026-10-13 13:48:18
2
user6123090229298 :
Uzinzi sio dhambi
2026-10-13 14:52:02
1
Rogers_Daudi :
Shida hizi gombania muumini kama watu wa stendi na abiria element za biashara hizi
2026-10-13 14:26:27
2
LEIZA GIRL :
stak ushauli mtanichanganya kikubwa anijali tu mengne tumuachie mungu ndie hakim wa yote
2026-10-13 14:20:34
2
Rachel Masatu :
mi nilishaikana imani niko Lutheran Maana sikupata huyo msabato nachojua biblia yangu ni ile ile ninaitumia hadi leo hii hivyo Mungu wetu ni mmoja
2026-10-13 16:31:28
1
Nicephonne Boniface :
𝐚𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐦𝐭𝐮𝐦𝐢𝐬𝐡𝐢
2026-10-13 10:59:09
1
zakiamseka :
na sisi hatutaki vile vile
2026-10-13 21:28:08
0
Frank Kalikisha34 :
hiyo ni hatari saana🤣🤣🤣🤣 ubaguzi
2026-10-13 22:03:54
0
To see more videos from user @muhozi.bunura.mza, please go to the Tikwm
homepage.