@ubeparicompany:

Ubepari_pc
Ubepari_pc
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 12:12:50 GMT
46767
3089
93
77

Music

Download

Comments

no.body6761
No body :
Mimi siwezi ku download app baadhi kwenye play store ..... Android
2026-10-14 14:41:30
0
jassam.khalifa
Jassam Khalifa :
kwangu haifanyi kazi
2026-10-13 14:22:29
5
ubeparicompany
Ubepari_pc :
Ungetamani tuandae video inayohusu nini?
2026-10-14 07:15:57
1
deusdedit696
Deusdedit69 :
Wa kwanza nipeni maua
2026-10-13 12:16:20
6
wifisupplier255
Edwin :
simu yangu haisupoort baadhi ya file, yaani nikiwa natumia wifi natumia app zote lakini nikiwa natumia bando yaani data baadhi ya app haiwezi kufanya kazi mfano app ya simbanking,my airtel, na baadhi ya app zangu picha pia siwezi fungua hadi nitumie wifi nipo ubungo
2026-10-14 11:27:55
0
prosperabraham815
prosper brand :
Mbon iy code nikiweka aijipig
2026-10-14 12:15:27
0
dpizzo791011
D-pizzo :
kk iko kimnala nakitoaje maana kinaonesha kama mtandao haushiki vizuri 🥺
2026-10-14 05:47:16
0
neyboy_tz
ZerxonX :
mbona haifany kaz
2026-10-13 14:25:17
1
user5523122995626
jimmy :
bro nisaidie whatsapp yangu imejifungua
2026-10-13 17:03:36
0
ben.alpha4
Ben alpha :
haijafanya kazi
2026-10-13 13:17:53
1
chustymbish
Chusty mastika ZANZIBAR :
kwangu haina fanya kazi kwanini
2026-10-13 14:17:02
2
isackactor
ISACK ACTOR :
tulio ambiwa tafathal hakikisha namba ya mteja unaye mpigia tujuane 😆😆
2026-10-13 21:48:58
1
casto.maliyamungu
casto maliyamungu@451994 :
nataka kujua kuhusu matumizi ya camera ya siri jins gan ya kuitumia
2026-10-13 15:51:45
0
jameseliasmahalam
James Elias mahala Mahala :
wapili nipewe maua yangu
2026-10-13 12:16:56
2
fott32
user5517073861077 :
UBEPARI PC naomba unisaidie namna ya kuunganisha wifi kwenye laptop maana kila nikiunganisha inaniambia window haisapoti
2026-10-14 18:12:35
0
user45911126594851
struggle man :
haikubali mbn
2026-10-14 13:31:32
0
gorden.spear
Gorden spear💰🏅🌟 :
*Nakubali sana
2026-10-13 13:41:24
1
hellenandelwa
boss zombi :
kaka me natamani kuonana na wewe ninashinda cm yangu nimefuta Google account
2026-10-13 12:35:30
1
honorrey501
Honorine :
mimi namna yaku jua password ya kila wifi
2026-10-13 15:57:54
0
user120619370150
GANGSTER 🏋️ :
we noma bro
2026-10-13 18:30:31
1
kisinza.network.s
KISINZA NS :
mimi sumsung yang nikichukua picha badala ya kukaa mwanzoni ,inakuwa mwishoni kbsa
2026-10-14 18:53:07
0
ok.ok.ok0703
ok ok ok :
uongo bana, simu zote za android hiyo mobile radio power huwa ipo on by default, ulichokifanya umeizima then ukarecord unaiwasha, kuna sehemu network coverage hamna kabisa na huwezi fanya chochote ili ishike mtandao zaidi ya kwenda sehemu ambayo network inashika
2026-10-14 12:39:25
1
nicy0110
Nicky-falcon⚽️ :
mm simu yangu internet inasoma vizuri ila Ina kupiga nakupokea ndio haikubali ni one plus
2026-10-14 13:57:55
0
suleimanjeremiah
HURRICANE :
kaka mbona mm haziji
2026-10-14 19:33:58
0
www.factstory.com
META® :
watu wanao tumia haloteli haifuction
2026-10-14 13:04:08
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About