mimi nalala nae kitanda kimoja lkn haniongoleshi na hatujagombana kbsa haongei kbs
2026-10-13 13:44:38
42
God over everything ❤️🙏 :
🤣🤣ukipata nafasi ya kuwa single itumie 📌
2026-10-13 18:41:00
15
Mynah….🍓 :
Huo upweke nmeuzoea naamka bila goodmorning nalala bila good night na nina pumua😅😅😅😅
2026-10-13 16:35:46
25
lady B🌺🐝🦋 :
niliwah pitia hayo maisha jmn 🥲 Mungu usiliruhusu lijirudie tena walah 🤔
2026-10-13 14:33:42
31
scholastica :
wengine sisi kila mtu analala chumba chake
2026-10-13 13:33:57
13
Sunshine ☀️❤️ :
mm napitia Hyo Hali Ni mwaka Sasa nilimkosea nimeshamuomba Sana msamaha Ila anasema nimekusamehe Kwa sasahivi tunaishi kama mabubu mwaka mzima sijui hata nifanyaje
2026-10-13 15:16:59
6
Yp✅ :
me ni mgonjwa asthma naelewa hii litu
2026-10-13 16:19:48
3
user3215883349734 :
achaa kabisa kaka hayo maisha ni mabayaa
2026-10-13 18:26:44
1
Noor🦋The🍓Boss💕 :
sasa mm huyu wangu nikipiga tusolve ndo naharibu kabisaa 😁nalalaga saa kumi usingiz nakosa kabisaaa bora nisimpgie
mm ni zaidi ya.miaka mitatu akitaka tendo ananiambia geuka mamake fulani lakini hakuna hata story yoyote jamani
2026-10-13 16:02:11
1
dahmaryam :
exactly 💯
2026-10-13 17:34:26
0
Catherine Lusajo Joram :
Yani kwangu tunasalimiana za asubuhi, umeamkaje halafu siku njema ikifika jioni umeshindaje then usiku mwema[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-13 15:59:43
2
Wakishua😜 :
Saiv me nakaa kimya maan nimepambana mno mt habadiriki
2026-10-13 17:47:01
0
Destine :
je kama najiandaa kuachwa😂😂
2026-10-13 17:54:28
2
faith shirima :
halafu cha ajabu nimesha zoea maana mtu akirud anaangalia movie had saa7 usiku so umeshalala unaangaria tuu labra ukistuka usiku ila sawa.atajua yeye
2026-10-13 13:51:21
10
yuria :
sisi ambao hatuna wapenzi haituhusu
2026-10-13 14:35:13
3
Beby G Hullem :
fact, mim nakosa usingizi kabisaa hadi kifua kina bana yani. sipendi kununa mda mrefu. bora nionekane nina mdomo tu ila napata amani
2026-10-13 16:36:58
3
chimamy🧕🏻🥰Tz 🤍 🧕🏻naah🤍 :
mwenyewe nishazoea eti kawaida 😢
2026-10-13 18:23:02
1
lista Jackson🍎🩵 :
Ndio mimi siwezi jmn niivi mpaka tuongee ata kama yuko safarini
2026-10-13 13:25:40
1
GraceG :
Hiyo imetokea kwa ndugu yangu Kabisa yaani
2026-10-13 16:45:05
2
Amor SDA :
me nilikua namwambia mkurya wangu anabishaa ona saivi hatupo wote 😳
2026-10-13 14:15:45
3
Shanty kidoti :
Kweli kabsa
2026-10-13 13:24:15
2
IKA🤍🧸🎀🌸🧋 :
acheni ty jamn😂😂😂😂😂
2026-10-13 16:50:17
1
topista :
exactly 💯🤣
2026-10-13 12:58:56
2
Amreen Ahmed :
hii ni kweli , nilimpata hii story mwanaume anahadithia kwa uchungu
2026-10-13 13:06:19
2
To see more videos from user @lovedisaster1, please go to the Tikwm
homepage.