Raha Ya Daby Ni Kuwekana Sa Timu Inafugwa Mara Saba
2026-10-13 21:17:54
5
kemmymfinanga7.gmail :
kwani huyu naye nani
2026-10-13 20:07:03
1
Allisone@JRMinya :
Huyu Waziri Mkuu anatisha sana mbona yuko Moto 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-10-14 13:14:46
2
Zogo Babalao :
Sasa mambo mazuri kama haya ya kutaniana Mh Heche hataki kusikia...!! Heche anataka tujadili siasa tu muda woteeeee....!! Aaaa wapi, hiyo haiwezekani, wacha tufurahi....!! Hajui kama Mpira ni Uchumi...🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 11:06:21
2
rey :
kweli wataongea mpaka wadhamini
2026-10-14 06:44:18
8
fatmaaa🥰🥰🥰 :
moja kwa moja status
2026-10-14 16:35:25
3
danina ANGELO ♥️ :
uyu nae
2026-10-14 06:55:06
1
N@🇹🇿 :
yanga weweeeee 💚 yanga weeeeeee 💚 yanga bigwa 💛
2026-10-14 03:32:17
1
cutie pie :
kwani semaj anasemaje
2026-10-14 10:22:35
1
Aisha Shaaban :
Mbona kweli jamani simba kapatikana hapa 😂😂😂😂😂
2026-10-13 18:39:36
5
yudaisack324 :
wamesahau ngao ya jamii 2023 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri
2026-10-14 07:59:38
1
Church Dada20 :
micjuwi tu kutengeneza video hivi nigefanya aisee🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-14 11:24:05
1
user35780877815680 :
hahaah
2026-10-13 18:07:15
1
Amiri athumani :
Kwa hapo kweli huyo ni waziri wa nchi
2026-10-14 06:24:42
3
🤴heisallystar😊✌ :
yaani toka nipo 4m4 mpka leo hii nipo kazini mwaka wa pili😂😂😂😂
2026-10-14 12:45:58
1
4S么GHOST!亗 :
yangwa bingwa
2026-10-13 17:42:16
1
To see more videos from user @princejamuko, please go to the Tikwm
homepage.