[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]amour jaman watu wakatili nimelia
2026-10-13 19:10:10
0
أشني🧚♀️ :
so sad wallah 😭😭
2026-10-13 16:06:50
0
Raya :
𝑆𝑢𝑏ℎ𝑛𝑎𝑙𝑙𝑎ℎ[Crying][Crying]
2026-10-13 16:09:43
0
Valentina Michael :
poleni
2026-10-13 18:08:53
0
MeLa+250🫦 :
uyo mtoto sijui alilia kilio gani uwiiiiiii
2026-10-13 15:55:47
9
Ms reedacious 005 :
Innallilah wainaillah rajoon
2026-10-13 16:50:40
3
tiffah Saidi :
Daaaah yalabi tusaidie 🙏😰
2026-10-13 16:07:56
0
Tiffa❤️ :
Ila binadam dah tumefikia Huku kweli Kabisa jaman
2026-10-13 14:22:44
10
CUTE MIDEKO❤💯💫 :
Ubinadamu Meyooo💔🙌🥹
2026-10-13 15:47:06
2
💕Official Naimah💕 :
jmn jmn tunaend wp jmn 😭😭😭😭😭
2026-10-13 15:30:03
2
Fetty💍💫 :
tutakufa wote sisi wasizani wamemkomoa uyo mtoto mungu mpe ngumu mama mtoto
2026-10-13 17:54:32
2
@𝚖𝚊𝚛𝚒𝚊𝚖 🥰🥰 :
Emungu wangu nilindie watoto wangu Yarabii
2026-10-13 15:23:38
2
Naifath Yusuph❤️ :
Wanasema kukutoboa Macho wanapoteza ushahid Maana lenzi za macho zinaacha picha za watu wa mwisho😭😭
2026-10-13 15:44:44
1
queen_lishe nuts🥰👌 :
had nimesidimka dah
2026-10-13 14:47:44
2
Umm Ahmed♥️🕊 :
Dah mama ake kiatu chake hakinitosh yarrabi mpe nguvu mama mtoto kwenye kipind hik kigum
2026-10-13 15:42:44
2
Minah 76 :
😭😭😭😭😭dah
2026-10-13 15:08:00
1
Official_isha :
Innalillah wainnalillah raajuun 🥺
2026-10-13 19:05:07
0
miss enea :
jamani tuombe mwisho mwema
2026-10-13 14:28:29
24
Ma tarki🦋 :
Dah mwenyezi mungu tujalie na mwisho mwema 😭😭😭
2026-10-13 15:42:56
5
Zaynab@123 :
nini kinaendelea hapa nchini kwetu mbona vifo ni vingi hasa vya watoto jamani.kama wenyemakosa nini sisi wazazi basi malizaneni na sisi wauwaji msiwahukumu watoto wetu wasio na hatia jamani tunaumia sana Mungu wa mbinguni tutetee wanao vizazi vyetu vinaangamizwa bila hatia 🥹🙏😭😭😭.
2026-10-13 15:44:13
2
momLainy♥️ :
sasa hiv ndio namini dunia inaenda mwisho😭😭😭😭
2026-10-13 19:50:03
0
ally_kariakoo :
Dah 😭😭😭😭
2026-10-13 19:12:07
0
she is zuuh :
Allah atupe mioyo yenye hofu ya mungu
2026-10-13 19:02:16
0
🦋bl!n@h🔥 :
😭😭😭
2026-10-13 19:13:01
0
To see more videos from user @ninoh.collection, please go to the Tikwm
homepage.