@iamgracie612:

Gracie🌸💕
Gracie🌸💕
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 14:11:26 GMT
35846
1262
72
195

Music

Download

Comments

just_eve68
Just_Eve🦋 :
Me nikiwa Nasubiri Yule mpangaji mwenzangu aliyesogeza nguo zangu kwenye kamba aongee 😂🤌🏾
2026-10-13 17:28:31
20
iamgracie612
Gracie🌸💕 :
Na vile sipendi mazoea😂
2026-10-13 14:18:35
15
catykeezy
Catykeezy :
Nasubili tu nitajwe kuhusu usafi nauku sishindi nyumbn kuludi ni usiku
2026-10-13 16:44:40
7
rehemaomary172
REHEMA 🎀 :
😂😂😂😂😂ngj nikapange mie napenda ugomvi balaaaa
2026-10-13 15:08:49
3
momy.vee4
momy vee :
nasubili wataje jina langu napenda ugomv kuliko kula 😂😂😂😂😂
2026-10-15 08:54:00
0
rehemaissa13
rehemaissa562 :
😂😂😂😂aki nimecheka daah
2026-10-13 18:04:22
1
destiny46022
Humble one :
Hii n mim mwez huu umeme week ya pili hauwaki nyumba inashoti alafu niambiwe nilipe hela ya umeme [Tears of joy]
2026-10-14 13:52:14
1
rebeka_beauty_collection
Rebeka Beauty Collection :
2026-10-13 16:03:30
2
tukatelemwakipemb
lettymwaky :
ila nyiee😂😂
2026-10-13 18:59:50
1
user2531534038664
Naomi Pachaa :
anitaje mtu aone
2026-10-13 19:44:07
1
bestarlinus3
Bestar🌠❤️💯 :
Alafu mi ndo mwenye nyumba ambaye sitaki mpangaji mbishi [Tears of joy]
2026-10-14 06:15:56
0
ma_p0528
ma_p💕 :
Mm nasbr wanisemw mm ndo nafungulia redio sauti kubwa😂
2026-10-15 07:19:12
0
hapileyna
hapileyna🦋♥️ :
na vile nawatamani kuanzia mda 😂😂
2026-10-13 18:53:30
1
catty_paul
catty_paul :
Weee😂yani anitaje aone
2026-10-15 03:45:47
0
www.tiktok.comchosen07
chosen :
uyo ni mimi ni mshari swapend wapangaji wenzangu😅
2026-10-13 18:44:21
1
user6529696873453
lista Jackson🍎🩵 :
Apo nisikie tu mama glory oyaa
2026-10-13 19:53:39
1
amina36793
amina😍 :
nyumba yako??
2026-10-13 18:36:55
1
theresiaraymond1
Teddy❤️🌺 :
naxubir wanitaje ela ya taka waone
2026-10-13 17:07:26
2
josephinestephan8
Josephine Stephano :
ww vip sasa unataka tulale giza
2026-10-14 10:26:29
1
felistaaclesgmail
[email protected] :
utahama ww😂
2026-10-13 17:28:16
1
its__lilly23
lilly🌸 :
Na apo wewe ni unatumia taa tu😂😂
2026-10-13 18:43:28
1
chimammy970
chimammy :
khaaaaa nptie 😂😂
2026-10-13 14:52:21
1
queenie_glory
queenie_glory❤️ :
ni kulipuka tu😂
2026-10-13 14:32:52
1
mars.trending.shoes
Trending_shoes.Kigambonii❤️ :
😁😁Naomba io mita ije Chapu
2026-10-13 14:22:09
1
femyscodo
Femyscodo :
mm uy kbs cnunui umeme mpk watyu wote wanunue
2026-10-14 06:36:38
0
To see more videos from user @iamgracie612, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About