Kila mtu akae mwenyewe bhn[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 16:47:49
2
catrine gemn :
the sad Truth 😭
2026-10-14 12:25:32
0
Cpt Komba Jr :
Shida ni kwamba hatujui kufeki kitu ambacho mabinti wengi hawatukubali...Romantic yetu ni reality,
Love language yetu ni "No Drama"
kitu ambacho Wanawake wengi waliozoea kudanganywa hawakiwi
ndio maana tukipata mke...hakunaga kuachana kwa sababu tunaoa wanaotuelewa tu!
2026-10-14 13:57:16
4
kmwage :
Ni kweli wanaume wazuri na wema waponila sijawahi kubahatika ila Mungu ni mwema najua atanipa tu
2026-10-14 19:55:02
1
ee. :
Vijana tupo sema ndo hivo
2026-10-14 19:48:48
1
nikoambayeniko_fabrics :
Twende kwa Yesu 🔥🔥🇹🇿
2026-10-14 19:38:51
0
yohana Komba :
umetisha sana mkuu
2026-10-14 19:47:59
0
_r.i.ck.smash☘️ :
Hela ndo wanataka na hatuna[Tears of joy]
2026-10-14 21:22:32
0
PRINCE🤴 Freddy simba :
we dada nimekupenda bure tyu kwa hiyo kauli
2026-10-14 20:01:00
0
alfa@123 :
tusifanye
2026-10-14 16:40:37
0
GOLDENCALM🌴 🎄 :
Tupo sema hatunasifa hizo
2026-10-14 14:48:29
0
Sarah Phillipo :
vijana wa kiume ndo hawataki, wengi Wana MANENO wapunguze MANENO mengi ma Binti tupo wengi sana
2026-10-14 18:24:30
1
Nemsies255 :
wanataka tall dark and black
2026-10-14 17:54:56
1
Elisha Malima :
muonekano ni quality ya kwanza. kabla ya vingine vyote lazima mtu akuvutie. ukimuona tu unashiba... au unajiona tajiri kama huna pesa 😁
2026-10-14 13:46:04
1
@bonge la dada 2025 :
*una akili saana una mchumba au umeolewa?..
2026-10-14 08:10:37
2
𝐦𝐜𝐦𝐚𝐬𝐚𝐮𝐭 :
Kifupi sisi sio mabishow
2026-10-14 12:00:09
1
Cinderella188 :
lakini ndio hivyo hawana mionekano 😅😅😅
Genuine connection and commitment 🥺
2026-10-14 20:25:48
0
Docha 🐒 :
Shida hela tulizonazo mi hela za kula, kulipa kodi na nauli za bolt na daladala 😁😁😁 wenzetu sanataka hela za kununua iphone 17 shopping kwenda hotel nzuri na pia tunamukia perfum za kupima 😂 tuwaache tu wakadate na waume za watu
2026-10-14 07:05:48
2
Luvanda :
bora ata dada unajua kua tupo vijana tulonyooka sema waovu ndo wengi kuliko wema ndomana wote tumeingizwa umoo
2026-10-14 20:12:26
0
Ng'aga ✝️ :
👏👏👏
2026-10-14 07:07:37
1
Cheusi :
🙏🙏🙏🙏
2026-10-14 20:21:19
0
To see more videos from user @we.live.for.the.f, please go to the Tikwm
homepage.