@luluwhite272: ASANTENI SANA AUDENTIA MATERNITY ASANTENI SANA MIDWIFE WOTEEE WA AUDENTIA AKIONGOZWA NA MIDWIFE MKUU MIDWIFE MKUU AGGIE MIDWIFE JANE MIDWIFE LISSA MIDWIFE SOPHY MIDWIFE GAHONU MIDWIFE SALOME KUZAA BILA KUTESEKA INAWEZEKANA MMENIONYESHA UTOFAUTI NITAZAA KILA MWAKA NA MWANANGU @hunnie 🍧 INSHALLAH AKINIPOKEA KIJITI CHA KUZAA NITAMLETA HAPO SINA CHAGUO ZAIDI YA NYIE NYIE SIO WAKUNGA TU NYIE NI NDUGU NIKIONGEA SITOMALIZA UWEZO WAKUWALIPA ZAIDI SINA ILA MTALIPWA NA MUNGU 🙏🏼🙏🏼

LULU WHITE
LULU WHITE
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 14:18:06 GMT
303467
28677
1362
1608

Music

Download

Comments

zenath.fikiri
Zenath Fikiri :
Ngoja Nibebe Mimba Ninunue Besen Nizalie🤣🤣
2026-10-13 14:43:21
433
sabrinamruma136
sabby_girl💕 :
Namm nmejkuta nalia jmn 🥺🥺
2026-10-13 14:35:57
153
user8781503954418
khajirat :
mnaniliza mimi [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-14 22:21:24
0
habibtyrahma09
HabibtyRahma ❣ :
wanasemaga watu mkikaa pamoja muda mrefu mnafanana🤣 mashaallah shemeji mmefanana
2026-10-13 15:10:13
787
beauty.aka.mary7
MERVEILLE🎀 :
Congratulations dear ❤️❤️❤️
2026-10-14 16:55:46
0
naah7197
༺𝐍𝐚𝐚𝐡🦋༻ :
daah huyu baba jamn mpaka katoa machozi🥹Allah azidi kuwabarik mnoo
2026-10-13 15:31:57
92
its.angelbackup
🦋Lyna🎀 :
Daaah huyu baba abarikiwe sana hii safari bila mwanaume mwenye upendo ni ngumu Mungu awalindie vyema baby akue kimo na maaadili🙏🩷
2026-10-13 14:34:11
407
pretty_jooh
Pretty 🖤 :
Mi Mbon naogopa ndio kwaza ina miezi 3
2026-10-13 14:50:49
111
mamy.ayfan1
mamy boys🌚 🇹🇿 :
Naomba kujua hayo maji yanadawa au kama hayana namimi nijiamulie mambo kwenye beseni😂
2026-10-14 10:28:23
12
tatuabdul346
Madam Teeh 🦋🍁🦋 :
jaman nilipomuona shem analia adi mm machoz yamenitoka eee Mungu naomba umpe mtoto wangu mwanaume kama huyu
2026-10-13 14:57:46
151
coolseva8
Eu's stitch Tz :
congratulatio
2026-10-14 20:11:36
0
nurismuchi
NURIS MUCHI 😍😍 :
mkiambiwa kuzaa ni nusu kifo muelewe umeona da lulu sura imebadilika kabisa🥺
2026-10-13 14:54:13
115
umulljasmine
umull jasmine :
hongera sana
2026-10-14 18:00:52
0
jackline.iqram
Jackline Iqram :
shemeji kaniliza ongera dada😘😘
2026-10-13 14:31:35
44
aymanpablo98
Sweet vacion 🍭❤️🥰 :
Mwanaume wako wa kwanz Mtu unamzalia mtoto wa kwanz wakiume 🥹 copy yake kabisaa Alfu anakuachaaa na mtt anaoa mwanamke mwengine ata mtu kutamni kuzaa tenah utaman ukiwazaaa nyuma uliyoyapitiaaa 🥲 congratulations 🎊🎉🍾 Da lulu ❤️
2026-10-13 16:34:55
5
julianaantoni8
viviani :
hongera
2026-10-14 17:37:34
0
siskatzpeter
siska tz :
congratulation
2026-10-13 20:07:12
0
tonniewrld
THE 🌍NLY TEE :
Ndo mana miezi kadhaa hii ulipotea kwenye simu yangu anyway hongera na bigup kwa uncle apooo🔥🔥
2026-10-14 10:31:23
7
geen922
Lizymamy-store :
Bei gani
2026-10-13 15:26:51
6
babyfaceog3
MRS LIFUMA🥰😋 :
nilijua ni nyymbn hapo kumbe hospital
2026-10-13 15:15:38
19
ramlat1457
Ramlat14 :
lulu umepata mume walah wabillah watallah hongera sana m.mungu awajalie kiila la kheri
2026-10-13 14:35:15
52
aishaamirikalakac
meme loce :
mume wetu da lulu😃😃😃😃😃
2026-10-13 14:27:06
66
share.kapella
😃 :
me sijui nacheka nn ila sio kwaubaya
2026-10-13 14:33:02
48
tinner3279
Tina :
Ni bei gani nifanye nikiwa najua na bei kabisa
2026-10-13 17:12:10
6
babybinmgalla.18
babybinmgalla.18 :
hadi wanafanana
2026-10-13 14:52:20
25
To see more videos from user @luluwhite272, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About