video haijaisha alafu nikufate
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] umenikosa[Big LOL]
2026-10-15 04:42:47
3
𝐆𝐮𝐲 𝐮𝐧𝐤𝐧𝐨𝐰𝐧⚠️ :
imekubaliii broooooo[Snicker][Big LOL]
2026-10-14 19:36:21
1
@ham is🤏🤏 :
nisije nikaloki simu yangu bure
2026-10-13 15:06:26
29
🔥𝐌𝐑. 𝐏 🧢 :
Oya mbona ya kwangu imefutika kila kitu.
2026-10-14 10:38:31
32
𝙎𝙞𝙡𝙚𝙣𝙩 𝙆𝙞𝙡𝙡𝙚𝙧 🔥 :
yangu imezima cku yatatu Leo haiwaki
2026-10-13 17:34:03
19
##maheru jr 88⚽️⚽️⚽️ :
naon wew unatak watu tuflash simu 😂😂😂😂
2026-10-14 14:25:49
12
Mr EK😎 :
siwashauli kuingiza setting tofauti isio lasimu kwenye simu utaingia cost nyingine acha simu ifanye kazi yake kawaida na usije chalibu kufungua addition settings ambazo ziko hidded bila kufahamu ukiziwasha zitaleta effects gani tena kwa Samsung users utarudi dukanj nilisha wahi set k2 nikizani ni normal setting baada ya 24hrs ilizima na kuandika ⚠️Your phone was locked by security software ni mazma saiv nna mpya hao wa kuflash walikuwa wananibadlixhia location za kwenda
2026-10-14 05:58:25
5
ABDUL wa simulizi :
me natumia Tecno nimefanya imehumuka kama hamila
2026-10-15 06:06:33
3
junior 🚲🚲 :
mbon hujamalizia kwamb iwake
2026-10-13 19:03:21
5
Ibn-Ally㊗️ :
Saw bro nashukuru kwa kunilipulia simu yangu..🥺😅
2026-10-15 07:46:08
2
NDAMA JEURI :
ndo maan nimesoma comment kwanza 🤣🤣🤣
2026-10-15 07:01:02
3
festostivini22 :
We jamaa noma sim yangu ya mkopo nimejalibu ilo oyaaaaa sijalipia siku ya 10 leo na haifungwi😂😂😂😂