wachungaji msituchange nyie Ndio mnasemaga waleteni watoto tuwaombee kwenye madhabahu zetu wafaulu mitihani
2026-10-14 05:34:14
2
Bazwanje :
Kwa mahubiri haya sizani Kama kuna haja ya kumtegemea Mungu kwa jambo lolote maana huwanyeshea mvua wema na mabaya ukiugua komaa tu maana hata wengine wanapona bila kuomba
2026-10-17 11:45:12
2
Barnaba Msabila :
Umenikumbusha mbali mtumishi; kuna watu waliwahi kuombewa ili wakafaulu mtihani, cha ajabu wakapata zero( sifuri). Basi kuanzia hapo nilijifunza kitu kwamba Mungu hubariki kazi za mikono yetu, hivi basi sisemi tusiwaombee watoto wanapoenda kufanya mitihani, isipokuwa tunawaimbea ili Mungu awaongoze kutimiza kile walichokipanda( masomo) kwasababu nyuma ya mtu kuna roho chafu zinawafuata kwahiyo tunawaombea ili Mungu awalinde dhidi ya adui na sio ili wafaulu! kama haukupanda hauwezi kuvuna hata ukiombewa vipi, vivo hivyo usiposoma hautafaulu
2026-10-15 16:57:48
3
Lucky Lucas :
hatuoni mkiwaombea watu
2026-10-17 11:44:13
1
Spirit Encounter Tv :
Yan mim ninachojua kutoa ndo ufunguo wa mafanikio Kwa hyo nitatoa nakutoa na zaidi ya kutoa
2026-10-16 20:49:15
1
Emanuel Kimboghojole :
jaman mwenye kanisa ajetu maana tunachanganywa saana
2026-10-19 05:41:23
1
moïse mbayo :
Akika kwenye mtandao wa
Tik Tok kukiwa wa Pastor kwa wa Pastor tu akika Dunia yote ita okolewa kwa amani ya Mungu na nguvu Mungu atusaidie sana 🙏
2026-10-14 21:28:28
2
Joseph piusi112 :
kwani kunakosa gani kuomba mtoto afaulu wakati yeye mwenyewe alisema ombeni lolote maana ya lolote ni nn
2026-10-17 10:12:23
2
user615168778880 :
hahahahaaaaa fact that
2026-10-14 19:24:00
2
OFSIR :
mchungaji anasema hiviii,
1, kila kilicho juu ya uso wa ulimwengu nichake na anaweza kukichukua any time,
2, biblia inamaandiko yanayotafsiriwa kwa mihemko na uelewa wa kinyonyaji
2026-10-18 05:13:48
1
hpe.ser :
hiking ni chakula cha wa kubwa mtumishi usiwape watoto utawarudisha nyuma.
2026-10-18 13:45:03
1
Anania Simoni :
siku nilipogundua kushinda kanisani ni kujiletea umasikini sasa hivi akili zote nimezielekeza kwenye utafutaji
2026-10-14 11:26:06
3
kwa kweli :
juhudi huenda pamoja na maombi.
2026-10-15 14:38:26
2
David Myalle :
UFAFANUZI:-
KILA KITU KINAPATIKANA KWA JITIHADA, ZIADA INATOKA KWA MUNGU.
2026-10-17 12:20:44
1
Moses Misalaba :
mungu wa wote wenye mwili
2026-10-15 19:18:50
1
Dorothy :
asante, kwahiyo tuombee nini baba
2026-10-16 09:13:57
1
Emanuely Basuki :
Kuna mitandao ya kijamii Mingi ilikuwepo na iyopo ila huu wa Tiki Tok ni mwisho maana mpaka sasa jamani hali niliyo nayo kiiman ni ngumu😰😥 Huyu Tiki Tok na siwezi kwepa hivi ndo vinakuja kila niki swipe kupingana na imani hata uchu wa kwend church⛪️umepungua kabisa
2026-10-17 08:10:32
1
Bazwanje :
Duh!! Haina haja ya kuomba jambo lolote maana kwa kila chini ya dunia linawapata walio wakristo na wasio wakristo
2026-10-17 11:42:40
0
son felix :
Imani inahitaji Roho Mtakatifu bila Roho Mtakatifu unapeperushwa na upepo, tumuombe Mungu atupatie Roho Mtakatifu.