Ratiba iwe hivi, Aje na ndege hadi Iringa airport, Atumie gari lake toka iringa mpaka igawa, akifika Igawa abadilishe gari nakutumia toyota landcruiser 1HZ mpaka Mbeya ili aweze kujionea uhalisia wa barabara.
2026-10-14 03:34:36
29
JO93shu@ :
naomba msimwagilie maji barabara🥺
2026-10-14 08:20:49
13
SYL_JAID_P :
sas ndo mda wakuomba kazi
2026-10-13 19:34:08
10
mirry mirry 🧚🧸 ♓ :
tutamlaki bwanaaa yesu tuuuuu
2026-10-13 19:43:34
9
wema rice :
ndio maana mme sema bajaji hakuna kupita barabaran
2026-10-13 17:34:27
8
!🇹🇿ANNIE🔐🔞 :
hatimae tumefikiwa watu vumbini
2026-10-14 06:24:39
5
JB Bàsúpã :
chakula kitakuwepo!?
2026-10-13 16:09:27
8
De'caizzer_Babe🧸 :
kabwe Asante
2026-10-13 17:59:47
4
Hagai Abraham :
hatuji
2026-10-14 06:48:18
2
Justin Kilendu :
kilio cha wananchi wote ni barabara Igawa Tunduma
2026-10-13 20:02:07
5
Yvonne :
kero barabara
2026-10-14 12:07:57
1
DeeEyes♍️ :
Bora aone hii barabara
2026-10-13 20:52:56
3
Ally Sappy :
sawa aje tu
2026-10-14 16:55:14
1
Tumpe Roma :
asisahau kupita mama jon
2026-10-14 15:24:24
1
iveniaer mwasaka :
msitusahau upande wa maji jamn mbaliz tunateseka maji majumbani mabomba yapo lakn maji ndo hayatoki
2026-10-14 18:26:20
1
❀ Beatrice Store🍃❤️ :
Karibuu
2026-10-13 21:17:29
2
Yvonne :
Barabara
2026-10-14 12:07:48
1
baraka mwambeje call to 📞 :
sina shaka nae ni kiongozii anayejua shida za watu maskini hasa vijana
2026-10-13 16:56:30
3
@Dr Mathew :
Asante Baba
2026-10-13 19:54:46
1
Bahati Myala :
reli vp
2026-10-14 03:18:48
1
TOBE-ELECTRONICS :
Mkuu ile.barabara Ndio.iwe agenda kuu changamoto zingine hazina maana kwa sasaAsante
2026-10-14 08:16:24
1
Gs@Tz7331 :
Aje tu aone mbeya ilivo vumbi sahivii ani akuna kinacho fanyika balabala Ina miaka 3 moka Sasa sijui wanajenga nni
2026-10-13 20:07:25
4
ᴍsᴇʟᴀ sᴀғɪ 💭💭🗯 :
𝐰𝐚𝐥𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐞𝐩𝐨
2026-10-13 19:24:53
2
putin :
kalibu kijana mwenzetu
2026-10-13 19:30:32
1
To see more videos from user @knews24.media, please go to the Tikwm
homepage.