@meshack.trywell: The moment unawanza kuanza biashara, jiulize tu, unaijua iyo biashara unayotaka kuanza kuiza kwa ukubwa wakutosha kukuongoza kujua maamuzi gani sahihi yakuamua kwa mustakabali wa maendeleo yako uko mbele? Wengi tunajikuta kwenye wakati mgumu sana na hatuoni tunapoenda tofaut kwenye upande wa sheria zote za fedha but tunasahau kuwa maamuzi ya mwanzo kabisa wakati tunaanza biashara ndiyo yanayotusurubu mpaka sasa #wafanyabiasharatanzania #wafanyabiashara #smallbusinessowner #tanzaniatiktok #goviral #trending #foryoupage #fyp