@trtafrikasw: Mbunge wa chama cha Democratic, Ilhan Omar, amemtuhumu Rais wa Marekani, Donald Trump, kumuandama kisiasa. Ametoa kauli hiyo baada ya maafisa wa uhamiaji kuvamia nyumba yake jijini Washington, DC, kama sehemu ya uchunguzi wa jinai ulioidhinishwa na mahakama. Hata hivyo Trump amekana kuhusika kwa njia yoyote ile.
TRT Afrika Swahili
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 16:20:00 GMT
Music
Download
Comments
user.00000 :
Ilhan Omar FOR PRESIDENT
2026-10-14 07:12:13
2
omarnyae7 :
islam to the world
2026-10-15 13:39:19
0
Mamuh lux collection :
kule kwa wenzetu jaman unapambana na rais
2026-10-13 17:17:17
2
. :
Kwa wenzetu Mbunge anapambana na Rais, Huku kwetu Malawi hata ukimsema mjumbe wa nyumba kumi unatekwa na wasiojulikana[Big LOL]
2026-10-14 04:35:47
3
elias nguka :
USA wanaaply sana Democracy uku malawi angekimbia nchi mapema snaa
2026-10-13 18:31:51
2
chameleone3 :
dini tu hakuna kingine
2026-10-14 09:10:28
2
kinyonga :
linamtaka😄
2026-10-14 17:10:26
0
david :
si kwao na hasumbuwa wamerika
2026-10-15 11:39:50
0
Bushoke :
hiyo kisiasa tuuu
2026-10-14 04:08:58
1
sakandechiwa :
uhamiaji na makabati wapi na wapi
2026-10-14 13:08:45
0
Sakaya Lobebeki :
❤️❤️❤️
2026-10-14 12:55:03
0
John Tadewo :
[Heart eyes][Heart eyes][Heart eyes]
2026-10-13 20:49:40
0
George Obondo :
🌹
2026-10-13 18:55:07
0
DE SMART MSAFI 🌍🇹🇿 :
🤝🤝🤝
2026-10-13 16:35:55
0
Makori :
🥰🥰🥰
2026-10-13 16:31:36
0
Becole masomeko :
🥰🥰🥰
2026-10-15 18:49:20
0
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.