@millardayo_: Mtoto Amour Abdulrazak, aliyeripotiwa kupotea Oktoba 10, 2026, na baadaye kupatikana akiwa amefariki dunia, amezikwa leo Oktoba 13, 2026 katika Makaburi ya Kwa Dunga, Mbagala Kingugi, jijini Dar es salaam. Leo, Oktoba 13, 2026, AyoTV imefika nyumbani alipokuwa akiishi Mtoto huyo, ambako shughuli za msiba zimeendelea, na kuzungumza na Mjumbe wa Nyumba Kumi wa Mtaa wa Beach Boy, Mbagala Kingugi, ambaye ameelezea tukio hilo. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 14:55:28 GMT
Music
Download
Comments
Zuhra Hassan :
mungu atulindie watoto wetu 😥
2026-10-13 15:58:12
96
CUTE MIDEKO❤💯💫 :
Tutaogoapa Hata Kutembea Sasa🥹🙌💔Hali Ni Mbayaaaaa💔🙌
2026-10-13 15:51:16
34
ibtisam :
NINACHO SHAURI KWA SERIKALI TUNAOMBA SANA CCTV CAMERA ZIWEKWE KILAAA MTAAA HILI SWALA ITASAIDIA SANA KWELYE SWALA LA UTEKAJI ,WEZI NA KADHALIKA
2026-10-13 16:02:07
46
Ms Siyabonga :
allah ampumzishe salama ,,
2026-10-13 15:59:48
19
Chaudodo🍂❤️ :
Daaah💔 binadam tumekuwa wanyama sana mungu atupe mwisho mwema wallah 😭😭
2026-10-13 15:01:13
52
Prettyjeni :
katoto kazuri jamani🥹🥹😭
2026-10-13 15:41:09
11
Smityfinah🦚🦋 :
Huyu mtoto kaniliza sana uwiiiiii😭😭😭😭
2026-10-13 15:54:47
10
Fatima haruna k :
Inna lillahi wa Inna ilayhi raji'un 😓💔
2026-10-13 16:03:00
11
Khadijaah...🦋💞🔐 :
Waislam wenzangu tusiache swala
2026-10-13 16:03:59
64
12 :
loooo hasbwah wanemaliwakili.mtto mdogo munamdhulumu nafisi yke bore aliwakosea nini😭😭😭.Allah atawalipa hapa hapa duniani na kesho akhera Ameen
2026-10-13 15:34:11
5
Biba🖤🦋❤️ :
Dah so sad 🥹
2026-10-13 15:36:08
5
Honey boo boo :
R.i.p bby boy may Allah gant him jannah Ameen🤲
2026-10-13 15:34:47
7
Ester Mtawa :
jamn dunia inatisha mungu tusaidie
2026-10-13 20:07:52
3
🦋Tina🥰🦋 :
Jmn inchi imeshakua km haiti 🇭🇹 kwa auaji 😢
2026-10-13 15:06:57
13
Carlos :
Mungu amlaze mahali pema
2026-10-13 15:52:23
1
Fetyrisay Chimami :
Mbele yake nyuma kwetu 😭😭😭
2026-10-13 16:07:43
1
Dee official :
huyu mtoto kaniliza sana
2026-10-13 17:49:43
1
Anastasia Peter :
dah jaman
2026-10-13 16:02:01
2
simransharkhan :
unakuta aliye uwa naye yupo hapo hapo mazishini yaan mungu angesema tuone ya moyoni kwakila mtu sijui kwakwel[Pray]
2026-10-13 16:13:06
2
ms vickie :
🥺poleni
2026-10-13 15:41:36
1
KARUNGI health solutions 🌿✅ :
uwiiii mungu wewe ndo mlinzi wawatoto wetu sisi hatuna namna 😭😭😭😭😭😭
2026-10-13 17:38:10
2
Galby wangu🫀👸 :
innalillah wainaileh rajiun makiwa kwa watanzania jannatul firdaus iwe makaazi yake 🙏
2026-10-13 16:50:34
2
kutham❤️ :
2026-10-13 15:24:23
0
Salma chihonde :
jamani mtoto kawakosea nini😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭binadam tumekuwaje😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-13 15:39:19
3
P.o.m.s 99 👀🍀 :
pole sanaaaa familiaaaa 💯
2026-10-13 15:30:59
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.