sawa ila sometimes masharti Yao sio poa iyo ela unaambiwa mpaka ifike dollar 100 ndio utoe napia UTAPELI ni mengi sana unapiga kazi alafu baadae ukitoa ela inagoma tuendelee tu na kuuza mikoba kaka kelvin
2026-10-13 15:49:39
7
Rey :
noelekeze broo
2026-10-15 18:14:49
1
Loveness Zefania :
me nataka
2026-10-14 09:02:04
1
🦋 :
Nigundisge jamani sijui
2026-10-14 11:56:56
1
Vee❤️ :
kweliii!!!! ngoja nifwatilie jaman mamb kama Aya co ya kukosa
2026-10-13 16:13:23
5
PIUS✌️ :
shida zinatak kulipiwa
2026-10-14 05:46:28
2
MJALUO WA TANZANIA :
bro haichukui picha ya kitambulisho ndo changamoto
2026-10-15 17:07:43
0
The ketty R&D Official :
mnatwambia ni rahisi ila process hazieleqeki
2026-10-15 04:24:54
2
Davies Maro :
Nipe Link
2026-10-14 14:35:46
0
Annie💞 :
kaka tunaomba link
2026-10-14 20:17:20
1
Shinning Amani 54 :
naomba unielekeze bro
2026-10-15 17:59:44
0
Ally........W dabo R :
nielekeze basi nipate hiyo fursa
2026-10-14 20:16:33
1
Emmy Official 🇹🇿 :
matapeli wengi hakuna ukweli
2026-10-14 14:53:05
0
rock son :
Hapo kwenye ku bonyeza link,,,, ni kweli lakini wengi watalia. Link ni danger,,, unaeza bonyeza link kama unapesa kwenye account ya line yako utakuta tu ACHERUJINGAW3W3, Au imethibitishwa🫵
2026-10-15 08:51:54
0
Alvina :
asante sana
2026-10-14 08:56:47
1
Chris-DavidTz :
naomba tuelekeze tuanzie wapi
2026-10-15 01:26:48
1
Gombo :
mimi naumia ila Sina mchongo, lakini nipe mimi mchongo
2026-10-13 17:06:46
1
Rukia :
naomba niunge
2026-10-13 16:47:39
0
HUNTER COLLECTION :
tupe namba yako ya tsap basi
2026-10-14 08:40:22
1
people you may know :
Shida matapeli wengi
2026-10-14 08:09:16
4
zayshop :
darasa naomba
2026-10-13 16:49:16
1
To see more videos from user @kelvinkibenje_, please go to the Tikwm
homepage.