@abroadlinkcompanylimited: Safari yako inaanza hapa. Kutoka Tanzania kwenda duniani kote, tunakuhakikishia ticket sahihi kwa safari yako. 📌 Local 📌 Africa 📌 International 📩 Tuma ujumbe sasa, safari inaanza leo. Hashtags: #TravelLife #FlyAbroad #PassportReady #BoardingPass #TravelGoals
ABROADLINK
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 15:53:35 GMT
Music
Download
Comments
Lelo 🛞 :
Kwan ukika kwenye mizigo inakua shngp kwa disemba hii 🙃
2026-10-14 06:45:55
30
prettyzawa :
hii ni one way au go and return
2026-10-14 11:45:02
9
Mama Shungi 😁 :
kumbe ndo maana wengi wanaenda dubai
2026-10-14 09:29:33
18
Pare Girl :
Nauli ya kwenda china ninayo ishu nikifika nafanya nini na hela sina😂
2026-10-14 13:11:44
11
Sir Charles :
wekeni na bei ya DAR to Katavi
2026-10-14 14:13:32
2
Majeedah🥰♉️💫 :
Mwanzaa to Moshii shingapiii ngapii?! Mwaka huu siendii kinyongee😂
2026-10-14 07:19:52
4
Maya Maia :
Kama nikisimama bei gani staki siti
2026-10-14 16:22:15
1
Minastore :
Sasa mwakani lazima niende china
2026-10-15 08:23:48
0
KHAN tz :
DAR to China
go and Return
.....Bei ngan
2026-10-13 18:30:58
1
ANORD JACKSON :
kumbe dubai panafikika
2026-10-14 06:47:44
7
Mussa Kipagile # :
hio.bei yakweda Na kuludi au
2026-10-15 15:17:09
0
Last Born :
Dar to Dodoma, how much?
2026-10-14 11:20:12
2
Ms-tip🦋🎀 :
Nilijua laki 4
2026-10-15 14:25:03
0
solanji :
Habibi welcome to Dubai🥰
2026-10-15 18:42:13
1
Magreti massawe :
dar tu mombasa bei
2026-10-15 09:53:28
0
CUTE TAITA🥰 :
dar to Arusha shingapi saiv
2026-10-14 13:48:55
0
🐽stere 🍭💞🥰🥰 :
me ntaenda dubai
2026-10-14 10:30:11
1
Njauliving🦜 :
na DAR to Rombo holili ,mengeni, na kishingoni ipo😃😃
2026-10-15 17:14:07
1
Snp✨ :
mwanza to dsm acha kukuza mambo😂😂
2026-10-14 13:49:41
1
Johar tz :
singida to darslam mwendo nimeumalizaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 11:53:28
1
Gdence Auto Spare Parts :
One way au
2026-10-13 17:03:57
1
Officiall Rahma789 :
vip Hiyo nauli kwenda kulud au kwenda tu
2026-10-16 04:36:29
0
Christina 🇺🇸🇹🇿🇨🇩 :
Mumbai ndowapi
2026-10-25 11:10:05
0
Atuganile :
Dar to Canada Desemba bei gani
2026-10-13 16:25:13
1
mussa mchena :
price is going and return?
2026-10-13 16:30:03
0
To see more videos from user @abroadlinkcompanylimited, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.