mapenzi ya kweli yanatoka ndani ya moyo na siyo mambo hayo
2026-10-14 07:29:43
7
user8670841976627ustadh :
assalam aleykum warahmatullah wabarakatu,mja hiyo shiriki
2026-10-14 08:53:09
2
محمد إبن رمصان محمد✨ :
yanni yote hayo kama hakutaki hataki tu 😁😁😅😅😅😅
2026-10-14 14:19:03
1
Adia ABDULLAH :
Jamani acheni kufundisha watu shirki mcheni Mwenyezi Mungu 😭😭😭 subhanallah
2026-10-13 16:01:33
1
jackie❤️🦋 :
nilijaribu ya kitunguu maji yooh nimeachwaa na hii tena naogopa
2026-10-14 21:33:05
1
Asha Masud :
shirk hiyo
2026-10-14 10:52:04
2
KHADIJA BBY :
je kama aujui mama yake jina lake ufanyeje
2026-10-14 08:55:50
0
Baraka Tisa9 :
kaka umemaliza apo kata nikoma kuna kabinti kaostazat kana nchanganya sana akir angu, option way nimepata
2026-10-15 05:35:24
0
🌺Guchi garlo🌺 :
Asante acha nikufollow juu ya hii,maan ungechelew ningepata hasara limtu walipenda halitaki
2026-10-15 20:43:11
0
Fey da cute :
je nikitaka anaeniganda aniache
2026-10-15 14:08:03
0
Yasmine :
Sasa apo sonitafanya mutoto wa watu kua zezrta Allah niepushe na hayo mimi🤲🤲
2026-10-14 12:43:58
1
Mariam Issa :
shekh najuta mie najuta nilikua natoka na mme wa mtu sasa nimeona ni muda na mimi niwe na familia yangu nikamuwacha yule mume wa mtu ila yeye ataki kusikia neno kuachana akipija simu sipokei na mimi nishapata mtu na kabla ya kumwacha nilimwambia kama unanipenda kweli nioe wa pili akawa anaruka ruka na majibu haya eleweki sasa ninachopitia sasa ananifanyia shirki ili nimrejee yeye tena mpaka ninavyoongea apa nishapambana ili nimwepuke ila ananitumia vitu vya kijini mda mwengine moyo unauma na nakosa nguvu roho inaripua mawazo yake yanakuja sasa kama unaweza nisaidia ili atulie na mkewe niambie cha kufanya mana sio kosa langu ilo nafasi nilimpa akaichezea
2026-10-14 08:41:24
1
Adhya Mwinjuma :
shekh nakuomba unisaidie niweze kuachana na mume wa mtu
2026-10-15 14:34:08
0
shaa :
Namba yk ya whatsap please
2026-10-15 01:55:24
0
🦜Sh@@🦜 :
Ukisikia nataka nimroge awe wangu maishani ndio hii ss
2026-10-14 14:20:55
0
mamu :
sitaki ukifunga rizki jeee akoseee tukaa na njaaa
2026-10-14 08:21:11
0
Nasra H,K omg :
mmh waki okota watu je ilo kufuli auto kua mbaya
2026-10-15 11:18:10
0
Nuwaila product :
Uctdhi mie jina la mama yke cilijuwi je naweza weka lke tu
2026-10-14 11:29:56
0
aishajumanne159 :
uctdh samahani Mimi kuna mtu nakupenda sana nafanya je ili anipende kama mm ninavyompenda maan hiyo ya kufuli zijaielewa hapo kwa wanawake tunaandika majina tunaweke kwenye kufuli au tunafanyaje
2026-10-15 10:58:47
0
nayla :
sasa kwa sisi ambao sio waislam hatujui hzo dua inakuaje
2026-10-14 08:18:47
0
warda :
SAS sku nikitka kuachna nae na nishaalitupa mbali nafanyaje
2026-10-14 04:17:19
0
qurus :
unafunga kifuli ndyo utawanyishe na ufunguo sio na wewe umesema fungua.nieleweshe ustadh plzz
2026-10-14 06:27:13
0
thania :
tupe ya kuachw maan wat wnatung'ang'nia wal hawahudumii
2026-10-14 18:11:04
1
💥witness💥 :
ngoj nijalibu ntaleta majibu😅
2026-10-17 14:50:48
0
ummuhnaifat :
unafunga kufuli au unafungua sijaelewa
2026-10-18 12:40:32
0
To see more videos from user @said.khaliid, please go to the Tikwm
homepage.