@festokise: Asante my brother KINGKIBA kwa kuendelea kuniamini💈🙏. Ila nilikushauri ufuge ndevu naona hizo zinakuja sasa🤣🤣💈🙌 BOOK NOW:0686774140 @Alikiba
nakupendaga sijui kwnn
na mda mwengine nakuotaga for not reason but I think upendo...ila kingine Sina uwezo ningekuwa na uwezo na nikawa km mademu wengine ningekutafuta wherever you are....
2026-10-15 10:28:21
1
TURUBA. co.tz :
hamna kitu hii ni AI
2026-10-15 04:46:26
1
A king 225 :
wewe ni smart man sana
2026-10-15 03:41:33
1
Silvery _tz🇹🇿🎯 :
Mmm wee jamaa unazingatia angle kinoma
2026-10-14 16:22:59
1
The Berber 254 :
lekebisha kupaka DAY na cut jooh bt never give up 🙌
2026-10-14 20:14:22
1
Fidasa :
festo kwan ofic ako ipo wap?? kk
2026-10-15 13:06:13
0
JERO BRAND🍁 :
fexto mwanangu ue
2026-10-15 11:10:07
0
user9963815770530 :
amen
2026-10-14 19:18:36
1
MAC_ FARSY🇴🇲#🇹🇿 :
[Fire][Fire][Fire] ndugu vp
2026-10-13 16:42:39
2
faay 🍓🍓 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 mashaallah 💋❤️
2026-10-15 05:22:04
1
Negstore :
King kiba x Baba wa 4
2026-10-14 12:03:12
0
duly :
mwanangu unapambana ila black imejichola sana pembeni haitakiw kuwa ivyo ingekuwa kama inashukia iv nazan unanielewa
2026-10-14 21:30:34
2
melissa end helieth :
mung awabark wengne wambea xana humu mitandaon siwapend tabia zao
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣 mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa. Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika, Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara kuna mtu katoka kigoma na baiskeli mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikuwa anatoka bariadi kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai maua sama ni kajifungua
2026-10-15 15:18:13
0
alfanifataa :
umunyoage vizuri sasa
2026-10-15 18:42:27
0
To see more videos from user @festokise, please go to the Tikwm
homepage.