@jihann_dimack: Kaa tayari kunipokea na kuzunguka nami , mapokezi yatanzia uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere International Airport na yataelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam , msafara wangu Kutoka Thailand utajumuishwa na mkurugenz na mwanzilishi wa Missgrandinternational wenyewe mnamwita PAPA NAWAT😄 , Pamoja na walimbwende mbalimbali Kutoka baadhi ya mataifa , Ikiwa utashiriki mapokezi haya Kaa tayari kuniona Pamoja naye First Runner MissgrandEcuador na mamiss wengine pia. Zaid ni kwamba hivi karibuni UTARATIBU utatokewa Namna ambayo Home coming event itakavyoratibiwa. Asante. #jihandimack #missgrandinternational #wearegrandthe1andonly #MGI #nawat

Jihan_Dimack
Jihan_Dimack
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 16:14:29 GMT
45451
2959
170
28

Music

Download

Comments

luciaassack1
Lulu :
welcome home papa nawat this is tanzania
2026-10-13 19:01:25
4
cherry92348
cherry :
we are so happy for you plz
2026-10-14 09:01:32
1
auntj50
JUJUH Nation 💵💸❤️ :
Airport hawaruhusu kulala mimi jumamosi niamkie pale pale??
2026-10-13 17:30:32
62
hikups.kikons
Hikups Kikons :
hivi ni original Page yake??
2026-10-13 16:28:32
6
dotychaula
dotychaula :
Well come home jihan
2026-10-14 07:35:59
1
boaz0900
Ilham :
Tupeni ratiba nzuri tuombe ruhusa kazini au mfanye siku ya mapumzko
2026-10-13 17:44:38
13
prof.k55
Prof K :
Bon voyage, our beautiful Queen! 👑🇹🇿❤️✈️
2026-10-14 00:20:03
1
maya263620
Maya queen :
Nijipanga kabisa nivae raba
2026-10-13 17:21:10
10
anarkali383
Official_Anarkali :
what about visit in zanzibar?
2026-10-13 21:22:37
0
anna.bakoba
Anna makoba :
mungu akutangulie nakupenda sana mama mimi musukuma wa kahama natamani nikuone mwanangu ila nauli sina kabisa
2026-10-14 11:41:59
1
annaherbalglow
Anna HerbalGlow :
jihani ni wa nyumbani mm namsubiri muecuador na papa nawat kwa bashasha😁😁😁
2026-10-13 17:43:31
7
user59411786110256
Gal🌸 :
Umbebe na Laos jamanii
2026-10-13 19:25:57
5
mamnoor79
mamnoor :
equador c naskia kaachwa na mabegi airport ataweza kuja tanzania
2026-10-14 08:38:50
0
navilsames
aggie🥰🌺🦋 :
mwenyez mungu atutunzie ww🥰🥰
2026-10-14 09:19:40
1
missesthr
MISS E💞 :
nalala airport😅😅🥰🥰🥰
2026-10-14 05:20:24
1
user6257939975478
user6257939975478 :
karibu nyumbani
2026-10-14 05:14:59
1
esteritha.rx2
Esteritha Rx :
Mimi niseme tu MWENYEZI MUNGU akutangulie katika safari yako ufike salaama maana vita ni Kali sana😔🥲
2026-10-13 20:49:11
5
winifrida.levocat
Winifrida Levocatussi :
welcome my dear
2026-10-13 20:52:05
1
faidha.2611
fa🤪 2611 :
2026-10-13 18:21:04
2
user5856884531426
Miriam :
woow karibu sana jiham pia MUNGU amekuinua juu ya mataifa vip ukiniwezesha kamtaji t
2026-10-13 18:41:28
2
user27502835815210
betterhelthvibe :
2026-10-13 18:31:43
1
lilie8049
@lilie😍😍 :
2026-10-13 19:08:55
1
mrs.mriri
Raya Dry cleaner and laundry :
2026-10-13 18:41:23
1
avelin191
avelin191 :
kama mungu aishivyo ubarikiwe utokako na uingiako
2026-10-14 03:41:00
2
user2258473393982
Lucy 🌹B :
dada angu ndo umenifany nikajua umuhimu wa miss intranational [Pray]
2026-10-13 23:10:19
2
To see more videos from user @jihann_dimack, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About