@dmtech.arusha: "He is asking for help to get shoes so that he can continue with his activities."@godfreythomas07@Esko Donald#tanzaniantiktok #trendingvideoviral #trendingvideo #viralvideo

DMTECH.ARUSHA
DMTECH.ARUSHA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 16:39:57 GMT
33785
3307
153
35

Music

Download

Comments

pretty.linex
Pretty Linex :
nimelia sana ninashida lakini Tuma namba tu tumchangie jmn[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-16 14:54:19
0
yassini.omarezz7
🥷mr.YG🏍 :
God bless this man
2026-10-16 22:16:48
0
gkaburu54
Godfrey Mlwath :
anavaa size gan na yuko wapi? nitampa viatu avae
2026-10-13 18:31:43
41
l.i.l_b.r.o15
L.i.l_b.r.o15 :
naskitika watu wanamwaga ela kwa jihan ila kuna watu wanateseka kama hivi daaah 🥺🥺🥺🥺🫂
2026-10-16 00:07:07
23
ririnickson32
ririnickson32 :
Hataki pesa anahitaji viatu tuu Yaa Rabbi
2026-10-13 21:05:15
15
hidayamgoro
hidaya mgoro :
😭😭😭 Asante mungu kwahichi ulichonipa mpka nimeskia uchungu mnoo
2026-10-14 03:45:48
31
bgyner
Grace🌹🌹💖 :
size gan maanaa apa kunaviatu vingi
2026-10-15 05:25:50
10
trishanana26
trishaaaah🥰🔐 :
naomba utuambie alipo plz
2026-10-13 17:22:01
6
vicentkessy20
vicentkessy20 :
bro duka lako liko wap nilete viatu apo jamaa akipita umpatie na size ngapi?
2026-10-17 11:49:29
0
mercy.cute84
🥀🥀 m.e.r.c.i.e .c.u.te🌹🌹🍁 :
mungu nashukuru kwa hiki ulichonipa kumbe kuna wengine hata hichi hawana duh😭😭
2026-10-15 22:24:09
3
tigerpurihp20
tiger puri hp 🐯 :
duuuuh mwanang uyo ananifany najiskia vibay San alooo 😭😭😭
2026-10-14 20:26:05
1
brietharyan2
ساطع 💖💞💕💋 :
naomba namba yake
2026-10-14 10:04:12
0
qalbhlkfa9i
❤️Nurujan🦋❤️ :
anatumia namba gani nampenda uyo kaka
2026-10-14 18:22:22
0
queenlaizer1
Queen Laizer 🇹🇿 :
We Mungu Naamin maombi yangu unayasikia
2026-10-16 16:06:36
1
pendomgonja
love(upendo) :
kaka huyu anapatikanaje Sina hela ila naomba tuu tumsaidie
2026-10-14 06:29:25
0
fraa11111
Rommy🎁 :
size namb ngap
2026-10-14 03:45:59
0
ihtsary.dyllan
Ihtsary dyllan :
nilimouna arusha maeneo ya jogoooo huyuuu
2026-10-13 20:47:56
1
geazchota
GEAZ CHOTA :
oy
2026-10-13 17:09:06
0
mediequip_solutions
Malaika 558 :
Kaka mbona namba yake inaombwa tokea clip ya kwanza mbona hutoi jamn Kuna watu wanaumia kupitia yeye , fanya kuweka namba asaidiwe hata mtaji na mahitaji yake ya hapa na pale anaongea sana kwa uchungu, Mungu mpe amani na watu sahihi watakaojitoa kumsaidia
2026-10-14 06:37:18
3
sandlaizer
I’msandy🫶🌸 :
Kila nikiona content ya huyu kaka najikut naguswa nalia tu💔💔😭 eeh mungu naomba umkumbuke huyu kaka jmn naumia 😞😞
2026-10-15 12:12:52
4
alphauphostery
alpha uphostery :
Yuko wap uyu jamaaa
2026-10-13 20:48:43
1
goteshnyura
Gotesh :
aisee viatu ninavyo vingi ntampa jamaa bana ameongea kwa uchungu sana
2026-10-14 13:33:47
1
nurathy_msangi
Nurath 2003 :
Mim napajua mpk anapo endaga kulewa maskanii yake mda mwingi pale ni kwa bandarii
2026-10-14 16:04:43
0
jessy.phonce32
Jessy 💕 :
Kakaa umemsaidia hicho kiatu?
2026-10-14 16:45:23
0
To see more videos from user @dmtech.arusha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About