Bora wa kwako anakaa wakwangu anaangukaa yani nalia kila siku mimi 😭😭
2026-10-14 07:39:08
799
V :
Uyu Mtoto ni mzur jamn 🔥
2026-10-14 04:23:20
730
MNGONI🥰 :
alliha
2026-10-19 21:17:43
0
mamkupi :
tukiachana na kusudi la Mungu. lakini pia tujitahidini sana kutumia folic acid zile tunazopewa hospital. japo zinachefua tujikazeni tumalize dozi wamama.MTOTO MZURI MREMBO MUNGU AMKUZE VYEMA.
2026-10-14 08:18:35
337
isher🍷juice krein🌹 :
Asee mung akikup ukirem anakup na mwendo mung azid kumuwek ❤️❤️
2026-10-14 03:33:42
568
it's greth🥰🥰 :
Yan mtoto mzur jamnii
2026-10-14 04:25:26
378
calvincalvin2719 :
Sijui kwann kameniuma roho haka katoto..😔🥹
2026-10-14 07:12:04
20
MRRAYYAAN7 :
mngu ampe afya njema mtoto mzur
2026-10-14 04:45:58
126
MSOUTH_🇿🇦 :
Uyu mchumba angu mimi 🥰🥰
2026-10-14 08:27:14
22
nyamandemanyama8 :
tunaweza kuchanga labda kuna chochote kinaweza msaidia?
2026-10-14 12:47:27
33
123990 :
mwenyez mungu amjariye maisha yario mema mwanadam
2026-10-13 21:45:39
41
nahia💕🌹🌹 :
me natamani ming anipe tu at kama huy nitashukulu maan miak mitan kweny ndoa had mme wang hatuelewan
2026-10-14 11:36:37
15
Sabilo :
Mungu azidi kumlinda pia nimefrai kuona anapenda sana kula mwnywew na so kulishwa pia ubarikiwe kwa kumuonyesha upendo so kama wanaotupa watoto wao au kuwaficha
2026-10-13 20:42:43
72
the first time :
Allah amuhifadhi bit yetu mzuli lnshallah
2026-10-14 04:15:05
33
Halima Banda :
Anaonekana ana furaha sana Allah ampe kheri
2026-10-14 04:05:35
20
Rosyella :
huyu mtoto mrembo sana 🥰🥰
2026-10-14 04:49:52
15
Hayrat Hairun :
mwenyezi mungu amfanyie wepesi jaman katoto Kazuri🥰🥰
2026-10-13 21:30:02
21
KISU cha mgema :
angel baby
2026-10-14 16:03:42
5
amina :
mzuri mwenyewe mahsaallah❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-14 03:35:47
7
Iptyfaa🥰😘 :
Mwaka na miezi miwili mjanja kweli kweli
2026-10-14 04:55:17
52
tatizo kamdomo :
katoto kazur masha Allah
2026-10-14 06:10:09
15
Goldy_Gee🔶 :
Mtoto mzuri, anaakili Mashallah [Heartwarming]
2026-10-14 08:23:59
6
Mrs RAMADAN 🩵💍🔐😎 :
Allha atamfanyia wepesi kila mda na nyakati zote
2026-10-16 05:35:00
6
To see more videos from user @jeydatz, please go to the Tikwm
homepage.