@muu.saleh: Baby angellita case Let me know what you think #fyp #viral #truestory #babyangellita

Muuh saleh
Muuh saleh
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 17:05:32 GMT
209666
18479
401
483

Music

Download

Comments

princes28087
PRINCES👸 :
Dunia imenishinda naenda ekwadoooo
2026-10-14 11:25:47
210
misqatr2
Qatrillah 😍 :
naombeni mnirudishe hapa nipo road now
2026-10-13 17:16:23
466
m1sk3ry
j0j0 :
Kumbe natakiwa nimshukuru mungu pia kwa kunipa wazazi ambao wanamaadili na hofu ya mungu eh Alhamdullah
2026-10-14 07:55:25
189
nadiaodkxwa
nadiaodkxwa :
hellow @Ray William Johnson kunamtu anasimulia vizur kam ww😁
2026-10-13 17:19:36
155
hungyuldeone_7
Gyul de one❤️🔐 :
holaaaa mambo vipi watu wangu hopefully mko poa 🫣
2026-10-13 17:11:44
103
farajabraham7
Fah🦋💫 :
Mim nimezaa miaka 15 na kijana wangu ni Mkubwaaa nashkuruuu mungu, kuzaa siyo mwisho wa maisha Tusiuwe watoto
2026-10-13 18:56:33
49
missbarb8
Barbiemiey :
Yooooh hiiii dunia sasa ngoja nihame Bora niende HAIT
2026-10-13 18:33:32
91
hammyamira3
𝑨𝒎𝒊𝒓𝒂 𝑯𝒂𝒎𝒎𝒚 🧕🏽🤍 :
na leo tena
2026-10-13 17:56:27
31
itsbellaree
𝓑𝓮𝓵𝓵𝓪 🎀 :
na mm naombeni mnirudishe jamani 😢 😭
2026-10-13 18:32:19
157
nanahmakeup7
nanahmakeup7 :
Skuiz damu inachunjwa sjui 😔😩
2026-10-13 19:22:57
21
chodo100
dogochodo1 :
2026-10-13 17:13:42
6
zenadickson6
zenadickson6 :
napenda unavyoelezaa mpka mtu unaelewa nakupenda thanaa
2026-10-13 17:11:30
21
rumanakachehassan
Rumana Kache Hassan :
napenda maelezo yako, yaani siwezi kuzipita video zako☺️🫰
2026-10-13 17:14:55
16
allysiah6
allysiah@🦋 :
bab babu astaghafirullah
2026-10-13 17:42:28
11
prudent_t
Prudent Tz 🎶 :
Mambo vipi mashabiki wa Muuh Saleh
2026-10-13 17:29:26
10
mommasheart4
Hottest girl :
Subhana Allah 🥺
2026-10-13 17:35:16
10
alhilaliyah33
Alhilaliyah :
Subhanaallah
2026-10-13 17:11:29
7
mama_b099
꧁ঔৣ PÜRËHËÄRTঔৣ꧂ :
Huyo mama anaonekana alikua hajui chcht kuhusu binti ake na ndo maana mtt alikua anamwambia baba ake (mama akigundua ataniua) na pia mtt alikua anasearch namna ya kuugicha ujauzito. Yote tisa jamani kumi em wazazi tujitahidi kuwa karibu na watoto wetu especially sisi kina mama, sometimes mtoto anapitia magumu anashindwa kutuambieni sababu mzazi anamtenga mtt anashindwa kumpa confidence hata ya mtoto kumface🥹 binadamu tumekua watu wa ajabu sana siku hizi🙌💔
2026-10-14 04:21:14
9
71_eddymar
71eddymar :
nakupenda bure dadangu unajua kusimulia alafu stor zako hazina shengesha 🥰🥰🥰
2026-10-13 17:33:46
11
ruthlinaeliah240
Teejal🩵 :
zamu watu ndo walikua wanapitia mengi saiv hata dunia tunapitia pengi sanaa
2026-10-13 17:45:15
12
babyluucollection
𓆩𝓑𝓛𓆪~𝓒𝓸𝓵𝓵𝓮𝓬𝓽𝓲𝓸𝓷 :
10/10
2026-10-13 17:23:32
1
derene21
🗡🔪nally🫡🫡 :
100/100
2026-10-13 18:49:37
0
amayrah214
Amayraah🦋❣️ :
innallillah Wannallillah rajuun
2026-10-14 21:04:30
4
jawedsidik
The golden soul✌️ :
😳innalillahi wa inna ilaihi rajiuuun
2026-10-13 20:11:58
4
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About