Naomba Anybody Anibless Na 1 tray ya mayai nichemshe nikazungushe 😭 maisha imekuwa ngumu
2026-10-13 17:58:22
0
Mama Kyle :
Haki nanyenyekea tu someone ajitolee aninunulie ajitolee aninunulie mchele nusu kilo ni 60 bob nipike tule na my sons for supper , Mimi Leo sikufanikiwa kibarua am a Mamafua, nimezungukia kutoka morning ya 6 , kukaanza kunyesha afternoon am humbly requesting msinijudge maisha imekua ngumu kabisa....
2026-10-13 17:11:43
0
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm
homepage.