pia tulisha enda kutalii katavi na wahifadhi walivyoona gari walliikimbilia walikua na watoto walianza kupiga masiikio Yao hayo unaweza ukafa muhifadhi akanwambia derevva simama usizime gari alafu akamwambia piga less wote walisambaa
2026-10-14 19:11:41
0
MR. ORMOLLELIAN :
kaka silver kwema, John masai hapa
2026-10-15 18:02:00
0
nyiru maina :
labda kuwe na gari ya vioo vya bat
2026-10-14 14:16:39
0
Official silent killer 🔥 :
hapo gari imerudije NYUMA bila kuiwasha au ilikua kwenye kilima kidog