@mansamussaxivcom: KAMA FOREX INAWATAJIRISHA, MBONA WANAHITAJI LAKI YAKO? 👀💸 Kila siku tunaona vijana Instagram wakiwa Dubai, wanaendesha magari ya kifahari, wanaonyesha screenshots za mamilioni na kutuambia, “Forex changed my life.” Lakini kuna swali ambalo watu wengi hawaulizi... Hivi hawa watu wanatengeneza pesa kwa kufanya Forex, au kwa kuwafundisha wengine jinsi ya kufanya Forex? 🤔 Usinielewe vibaya. Forex ni biashara halali na inawezekana kutengeneza faida. Lakini ukweli ni kwamba watu wengi wanaojaribu kufanya Forex wanapoteza pesa. Na hapa ndipo tatizo lilipo. Watu wengi wanaingia kwenye Forex si kwa sababu wanaielewa, bali kwa sababu wamevutiwa na maisha wanayoonyeshwa Instagram. Usiruhusu maisha ya mtu mwingine kwenye Instagram yakufanye uhatarishe pesa ulizotafuta kwa jasho. Kabla hujaanza kufikiria jinsi ya kugeuza laki moja kuwa milioni kumi, jifunze kwanza jinsi ya kutopoteza hiyo laki moja. 🎥 Nimechambua ukweli kuhusu Forex kwenye video yangu mpya YouTube. Full video ipo YouTube link kwenye bio. Sasa niambie, FOREX NI FURSA YA KUTAJIRIKA AU IMEKUWA BIASHARA YA KUUZA NDOTO? 👇🏽 #ForexTrading #ElimuYaFedha #Uwekezaji #Biashara
Mussa Baba’s
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 17:13:39 GMT
Music
Download
Comments
Tigy Tigita :
mbn shule na vyuo mnalipia pesa je ukimaliza unakuwa tajiri ety
2026-10-14 05:11:04
51
Johnson the some :
forex ndo nin broo.
2026-10-13 17:17:34
4
Reflesher :
siwezi nikakosa usingizi usiku,nipoteze hela kwenye market,ni control emotion zangu then nikufundishe Bure kwani nimeiona kwenu.
2026-10-13 23:48:49
18
tuju master :
forex ni piramid scam wajuu ndo anafaidikia kama kamari
2026-10-13 19:31:38
13
Medbiz :
[Snicker][Snicker][Snicker]kila mtu afate njia yake kwakwel
2026-10-16 15:36:09
2
Mshaisai :
Sijui huwa mnataka kuwaaminisha nini watu. Kila kukicha forex this, forex that. Hao wanaotaka hizo laki za mafunzo mlitaka wawafundishe bure? Bakhressa anaingiza shilingi ngapi kwenye biashara zake na bado anauza ukwaju wa 500? Yani mnataka kusema mtu akiingiza hela nyingi basi aachane na hizi mnazoziona ndogo?
Kwenye forex wapi matapeli ambao hawajui kutrade forex hivyo wanatapeli watu lakini hiyo haisababishi kuwa forex yote kwa ujumla ni utapeli. Mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
2026-10-13 21:45:21
6
Herman HD :
Kwa bongo maforex watrades wanaishi kupitia ada za wanafunzi ndio maana wanawatamanisha vijana
2026-10-13 23:12:14
4
cosinyo19 :
Naomba nikujibu sababu kwanini Forex Gurus wengi hufundisha na kuwa na group za signals. Ukiwa profitable trader utaelewa hii kitu "The less you trade, the more you earn" tafsiri yake ni kwamba hukaa mda mwingi idle wakisubiri A+ trading setup ambazo hujitokeza mara chache sana sokoni labda mara moja au mbili ndani ya week. Sasa basi ule mda ambao anasubiri Perfect setup...kwanini asitumie mda huo kuongeza kipato cha ziada kupitia mentorship, kuuza signal nk.
2026-10-14 16:41:00
2
Affan_kaen :
kaka kwahiyo 100k unayompa anaekufundisha inamtosha kwenda dubai business class 😁
2026-10-15 12:34:00
0
ochu :
The choice is yours
2026-10-14 09:52:38
1
Armando Guebuza :
huyu nae anataka laki zetu
2026-10-15 01:22:43
3
k.i.k.w.a.z.o :
Kila mtu abaki na anachokiamini 😂
2026-10-14 18:21:05
4
alany :
ilimu yabure hazipewe ishima
2026-10-14 06:33:12
3
Masachis86 :
kat ya 100 mmjoa au wawili anatoboa sio poa inahitaji msuli wa akili na mtaji pia
2026-10-14 15:14:53
1
Tun_ech@ :
Asa pambana kwenye Hao 3 uwe ni mmoja unayefaidika 😌😌
2026-10-13 20:10:54
5
.....🏖CROON :
kwaiy unajua kama kujifunza kwa ugumu alfu ufundishwe bure
2026-10-14 09:55:43
4
Mr pure :
facts
2026-10-14 07:40:21
2
Abdul :
forex za bongo ni utapeli kama utapeli mwingine
2026-10-14 19:04:10
2
Mr Nalaga :
forex? money moving in the air 🤣
2026-10-14 07:19:32
1
SJames :
nimetoka kupoteza laki mbili
2026-10-14 16:45:40
1
Richprime🤑😁 :
10/10 let's go
2026-10-14 16:59:20
2
ifu_fx :
sio lazima kutoa hiyo laki yako ,weingia YouTube kajifunze
2026-10-14 11:52:26
1
Rise Up :
Your right brother
2026-10-14 13:29:52
1
@iqram :
ongea chap chap
2026-10-14 08:55:24
1
##Bennyly OG**,🫣🫣🫣🫣🫣 :
Me sina hamu nayo jana tuh imefanya sijalalq kisa dola100 zangu
2026-10-14 08:32:51
1
To see more videos from user @mansamussaxivcom, please go to the Tikwm
homepage.