@mapenzihisia6: FUPI LAKINI TAMU ZA KUVUTIA USIZIDISHE DOZI❤️ 1:❤️ nakupenda kuliko unavofikiria. 2:🥰 Asante kwa kua sehemu ya maisha yangu. 3:❤️wewe ni sababu ya maisha yangu. 4:🌹ninajivunia kua na wewe. 5:😘 kila siku wewe ni zawadi kwangu. 6:💝 ninathamini kila unacho nifanyia. 7:💫 uwepo wako unanipa amani ya moyo. 8:🥹 nipo apa kwa ajili yako kila siku. 9:❤️ hakuna mtu anayeweza kuchukua nafasi yako moyoni mwangu. 10:👑 wewe ni mmoja wa vitu bora vilivyowai kutokea maishani mwangu. 👇Ni ipi ungependa kusikia kutoka kwa mpenzi wako?#sms4love💘 #nakupenda #lov #creatorsearchinsights #realitionships