@ruiya.tv: 🤲 SAIDIA KUENDELEZA DA'WAH KUPITIA RUIYATV Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ikiwa maudhui ya RuiyaTv yamekuwa na manufaa kwako, unaweza kushiriki katika kuendeleza Da'wah kwa kutoa Sadaka kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya kurekodia na kurushia matangazo haya moja kwa moja. Vifaa vinavyohitajika: 📹 Kamera za Kisasa 🎤 Microphones za Kisasa 🎬 Video Switcher/Mixer 🎚️ Audio Mixer 📷 Tripod Stand 💡 Studio Lights Namba ya kutuma Sadaka TIGO PESA/ MIXX BY YAS NO: 📱 +255 775 819 501 AIRTEL MONEY NO: 📱 +255 786 696 698 Jina: Johari mwarabu msanango Hakuna mchango ulio mdogo mbele ya Allah. Kwa idhini Yake, kila utakachochangia kitasaidia kuendeleza Da'wah na kufikisha elimu yenye manufaa kwa Waislamu na jamii kwa ujumla. Jazakumullahu Khayran. Tunamuomba Allah (Subhaanahu wa Ta'aala) akubarikie, akuongezee riziki na auweke mchango wako katika mizani ya matendo mema. Aamiin. Support us RUIYATV Mixx by Yas +255775819501 Airtel money+255786696698 Subscribe Comment Like And share Thanks

Ruiya Tv
Ruiya Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 18:00:46 GMT
22857
1799
13
582

Music

Download

Comments

aishamzeehamissi
aishamzeehamissi :
ASALAM SHUKRAN.ALLAH ATUPE NDIMI NJEMAYARAB
2026-10-14 08:22:50
3
gadafi128
king mohaze :
jazaakallah
2026-10-14 21:00:09
1
minasksh
kicchuna🥰 :
shukrann Kwa mawaidh yako ustadh
2026-10-13 21:38:15
3
rahma.vuaihaji
Rahma Vuaihaji :
shukran
2026-10-14 19:12:21
1
mwanaishajefa
Da mkubwa :
shukrani
2026-10-14 06:28:42
1
ashaswaleh37
ummufatmah :
SHUKRAN. NIMEJIFUNZA
2026-10-14 12:27:36
1
user3814981771440
Jaguu Omar001 :
Kweli yako sheikh
2026-10-14 20:00:59
1
huzaimah2439
Huzaimah :
shukran kwa ukumbusho
2026-10-13 20:47:33
1
muna.bhai573
Muna Bhai :
Mola Akupe Afya Na Umri Uzidi Kutupa Elimu Na Kutukumbusha Hakika 💯💯💯 Usemayo Sio Kumtukana Hata Kumpiga Wazazi Mkiwa Wachamungu Basi Jua Hata Familia Pia Hupata Hifadhi Ya Allah
2026-10-14 19:20:55
2
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
true
2026-10-15 01:59:38
0
mohamedcharming0
Eddy Charming74 :
Hizi ndimi mbaya nahisi km zimenipata na mm Allah aniondolee laana hizo
2026-10-14 19:15:25
0
wahedda07yusuf
waheeda yusuf :
😁😁😁
2026-10-14 09:15:33
0
tausi343
tausi343 :
🥰🥰🥰
2026-10-14 18:54:32
0
To see more videos from user @ruiya.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About