@championboreanaz: Description: Moyo wa binadamu una maajabu mengi kwenye mapenzi. ❤️‍🩹 Unaweza kumpenda mtu anayekuumiza, kumkumbuka mtu ambaye amekuacha, na kumtakia mema mtu ambaye amekuvunja moyo. 💔🥺 Swali: Ni ajabu gani ya moyo kwenye mapenzi umewahi kupitia? Tuambie kwenye comments. 👇❤️‍🩹 Hashtags: #MaajabuYaMoyo #Mapenzi #MaumivuYaMapenzi #UshauriWaMapenzi #Mahusiano

Champion TZ
Champion TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 18:11:08 GMT
50073
1260
140
101

Music

Download

Comments

aloneaaron5
Alone Aaron :
number 2
2026-10-15 16:15:09
0
mr.mz196
Mr.Mz :
Mimi yote ten yawezekan labda Kuna na mengine hujayaandika et maan dah basi tu
2026-10-14 10:50:55
5
prissymysih
Prissymysih❤️ :
Mmi mbon kma yote ymenipiga yesu wangu 🥺
2026-10-13 21:17:45
3
salym_kipusa
salym_kipusa :
tuliosoma maajabu ya watu na kurudi katika post kusoma tena tujuane [Tears of joy]
2026-10-14 05:36:56
2
user843918278325
🗣💔😭 :
Aise ajabu la kwanza linanitafuna sana😭😭😭
2026-10-14 14:33:14
2
yoshuasokoyeti
[email protected] :
tunapendana ila hatuwambiani Yani kila akiniona na mwanamke mwingine anaona wifu na mimi nikimuona na mwanaume mwingine anaona wifu ila atuja wahi kuwambiana
2026-10-13 21:58:34
0
suzy.shilondela
Suzy Shilondela :
ajabu la kwanza mm nimeamua kumwacha tu mtu aende japo kua na mpenda mnooo ila au bac
2026-10-14 13:27:05
0
fadhila.omary66
Fadhila Omary :
simama na mm mungu naumia sina lakusema ni uchungu
2026-10-14 20:17:22
1
official.mwamvua2
official mwamvua❤️❤️ :
nmeptia yote hla kwa sasa natumkia ajabu la tatu mungu anipe uvumilivu naamin yatapta
2026-10-13 19:45:11
0
joharkihahe5
kimwany🥰 :
ajab la pili na la 3 yoooh dah
2026-10-14 01:20:42
1
mama.ake.na.nuryah
nadya og# :
mi npo kwenye ajabu lakwaza😞
2026-10-13 19:52:26
1
hajiyahya503
sally yahya :
ajabu la tano
2026-10-14 17:58:17
0
pukololo
puko :
ajabu la tatu
2026-10-13 21:47:29
0
happynessisackmal
Happyness Isack Mallya :
mm Kwa kweli nimeumizwa na mtu ambaye nlipenda nlijitoa Kwa vyovyote lakin nlicholipwa ni mungu ndo anajua ntazidi kumwombea mema maana akuna mkamilifu
2026-10-14 10:48:43
1
pendowero
pendowero :
mm yote nimepitia apo😜
2026-10-14 09:22:16
0
felistus946
🥰🥰 felycuty 254 :
sijui mbona hizi post zako zinaendana na mambo ambayo ninapitia aky mapenzi
2026-10-13 18:46:04
0
ham_cute2
ham cute :
mbaka nimelia man kwa sasa nipo kwenye ajabu la tano namuomba mungu nivuke salama
2026-10-13 19:36:43
0
user304802613
Mussa :
ajabu namba 2 nimepitia my friend umenikumbusha najikuta naumia t kimy kimy
2026-10-14 04:24:43
0
natalial107
❣️It’s me❤️‍🔥🍎 :
Ajabu la 3
2026-10-15 20:00:28
0
queen.rash42
queen rash :
najuwa kama nadanganywa lakn bado napotezea na kutokuukubal ukwel ili2 nisimpoteze
2026-10-15 18:31:05
0
mp.cute23
mp cute :
Sahihi
2026-10-15 18:43:29
0
neolifefamily
neolif family :
ya 5
2026-10-15 15:04:17
0
rehema.rashid517
Rehema Rashid :
yaan kwangu mm yote yamenikuta sina hata hamu ya mapenzi
2026-10-15 12:17:04
0
yasmin55015
Yasmin :
ajabu la tatu
2026-10-15 10:25:10
0
kichaby6
kichaby :
mm la kwanz
2026-10-15 09:20:57
0
To see more videos from user @championboreanaz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About