@john.mengi: simba 6-1 mashujaa wamepigika vibaya ila doumbia katisha kwa dribble nzuri #ticktocktanzania🇹🇿 #simbasc #MpiraWaMiguu #mashujaa #nbcpremierleagueupdates

John Mengi
John Mengi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 18:37:49 GMT
215183
9422
266
191

Music

Download

Comments

mgisha337
mj :
mbalii na ushabiki doumbia anapo kua uwanjan nainjoy san wanao mkubali doumbia kam mim gonga ❤️
2026-10-14 06:26:30
200
mwambegele2
loveness♥️ :
dumbia mume wang rin uta nipa raha jamn nabaki kusema aaaaaaaaaa mala daaaaaaaah mala gogoo mala daaaaah
2026-10-14 09:52:42
11
jumasoli58
jumasoli :
simba 6 dumbia 0
2026-10-15 15:03:36
0
juma37886
juma :
Aruditu.
2026-10-15 13:24:07
0
fikil.simon
mtafutaj brand :
sas hapa Jamaa Alikuwa anafanya nn
2026-10-13 20:37:25
40
khamisibnkahtangmail.com
kahtan :
Mimi sio mshabiki wa mpira ila huyu jamaa sio kama hajui mpira ila mda tu haujafika angalieni uchezaji wake wa pass tu unajua kama jamaa anajua.
2026-10-14 08:10:46
31
mataboytz66
mataboytz66 :
Kwaiyo kwenye goal 6 dumbia hajafunga hata 1
2026-10-14 09:04:10
15
darwine.darwine5
Darwine Darwine :
dumbia..
2026-10-15 13:19:05
0
123wambura
tatamoke investment👀 :
za chini chini yanga wanafukuzia saini ya mshambuliaji hatar wa simba ibrahim dombia kwenye dirisha dogo la usajili
2026-10-14 04:50:51
14
ramjikidadizo
kidadizo super tools :
ivi ni nani alitoa ushsuri wa kisajiri hii line😳
2026-10-14 15:41:46
4
user5181575917483
user5181575917483 :
kuwen nasubira uyo yupo sawa nampenda ndumbia
2026-10-14 07:26:57
8
elizabeth67863
ELIZABETH :
me mwenyew namkubali sana dumbia atimarika tu
2026-10-14 09:44:29
11
user9518882278267
scott :
Hamna mcheza apo tmechoka kua na subila
2026-10-14 06:12:05
7
gilbertjulius580
Gilbert Baya :
antia huruma sana jaman dumbia 😳
2026-10-14 11:05:01
2
ngoyeoscar
sontl@tz :
burudani kwa woteee ndo hiiii sasa
2026-10-15 08:09:49
1
tipen010
Tipen :
sinaimabi nae tena doumbia jamani au tulikeaneni video10/10
2026-10-14 12:22:48
1
r1amos
Amos 🇹🇿 :
ipo siku atafunga goli la kimataifa
2026-10-15 07:58:00
1
mussawaite5587
mussajuma0687 :
apo bb 2mepigwa changa la macho
2026-10-14 11:16:07
1
user0785857831
User number0785857831 :
Apo hakuna mchezaj bwana
2026-10-13 21:25:44
6
hangayamalangwa
nitume mimi :
kwahiyo mashabiki tupige kelele sasa sio !!
2026-10-14 16:22:51
2
rwanda003
Mr ommy love 🇷🇼🇺🇬🇧🇮🇹🇿 :
mi kwenye team ya simba hakuna mchezaji nae mkubali kama doumbia ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-10-14 17:30:01
3
user1513667981554kalmel
seven seven -- :
jaman mwachen2 amjui mangapi anayopitiya
2026-10-14 14:37:25
1
wizzycado
wizzycado :
mchezaji pekee kipenz cha wa2[Pray]
2026-10-14 15:07:21
1
lucassuka911
Lucas Suka :
𝐊𝐰𝐚𝐧 𝐝𝐨𝐮𝐦𝐛𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐭𝐞𝐚𝐦 𝐠𝐚𝐧𝐢¿¿¿¿....
2026-10-14 13:44:59
1
smar.tkiddy
SMART KIDDY TZ ✅🇹🇿🇹🇿 :
doumbia hatuwezi kumchukia ni familia
2026-10-14 14:44:23
1
To see more videos from user @john.mengi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About