@upsten_ajiral_portal: Tanzania, nafasi yako ya kazi ni HAPA! Je, uko tayari kuchukua hatua kuelekea maisha mapya ya kikazi?TANESCO imetangaza nafasi mbalimbali za ajira katika kada tofauti, zikiwemo Madereva, Mafundi Umeme, Mafundi wa Magari, Electronics, Technicians na nyinginezo. USIPITWE NA FURSA HII.