@jvckieseven: mwaka 2008 mkali wa RnB duniani kutoka +1 R KELLY alikuja na hii project yake ya kuitwa HAND CROSS THE WORD ambayo aliwakusanya nguli wa muziki kwa wakati huo wa nchi kadhaa za afrika na kufanya nao hii project. Kwa upande wa tz iliwakilishwa na King alikiba, Kenya iliwakilishwa na Amani CONGO DRC iliwakilishwa na Fally ipupa na Nigeria iliwakilishwa na 2baba idibia na wenginewengine siwezi kutaja wote but point ni kuhusu ALIKIBA, wabongo walimmind sana kipindi kile kwa kudai kuwa jamaa alishindwa kutumia fursa hii kupata kolabo za kimataifa.

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 20:19:50 GMT
19266
764
43
29

Music

Download

Comments

busiku.khloe6
LOVE 💞💞 ZONE :
Amani 🫶🫶one in a million 🥰🥰.if you were enjoying then, you should have at least 2kids
2026-10-14 16:24:49
0
kapyangaindet
terikindet :
combinations of legends😂😂😂
2026-10-13 20:50:13
1
felloh.poultry.farmer
Felloh's poultry farm :
wow, what a flashback.. salute to Robert Kelly
2026-10-14 16:52:02
0
b.gway
B Gway🙏🏽 :
oya Kam ne-yo 🔥🔥
2026-10-14 14:44:02
3
mtukufu_jay_zone_
MTUKUFU_JAY_ZONE 🙏 :
𝕜𝕚𝕟𝕘 𝕜𝕚𝕓𝕒
2026-10-14 12:35:12
2
user3631298326157
Ngosha :
R Kelly ni kama lavalava tu apa bongo
2026-10-14 06:14:37
2
braytonetheboss2
Braytone The boss :
Alikiba nyota yake kali sana analoga hasa
2026-10-14 13:18:47
2
buremo.masu
Brand istore :
Enzi izo diamondi ajatoka kivile laiti ingekua ndo saiz alikiba alikua haioni iyo kolabo
2026-10-14 12:51:41
2
gibeucheghebe
Imma Gibe :
mwanangu umetisha sana usisahau kunidondoshea kikuu cha mama roda
2026-10-14 07:31:22
2
aminarajabu680
@mmy B :
walikuwa🔥🔥
2026-10-13 21:13:18
1
user9969331634416
karlimax Africa :
2010
2026-10-14 01:16:21
1
user1782726039011
dax kuam :
nyimbo inaitwaje
2026-10-13 21:08:26
1
user3260188108435
saadamosh :
bonge la dude hatariii🥰🥰🥰
2026-10-14 08:43:00
1
officemacho
office macho :
mie ndo ikawa mwisho kumwona r Kelly kwenye mziki
2026-10-14 03:14:11
1
hamisimohamedi426
smart tole :
kiba
2026-10-14 17:45:53
0
cresporh
Cresporh :
aaahhh aliifungua vzr sana
2026-10-14 16:28:38
0
richardsimisi3
richard simisi akili :
sauti ya king kiba n'a Fally Ipupa ndio zilikuwa zinatisha
2026-10-14 17:07:55
0
ayobow56
ayobow56 :
mwamba kitambo huyo
2026-10-14 16:30:18
0
user9969331634416
karlimax Africa :
no
2026-10-14 17:46:14
0
kiwelu710
🫵Benjamin✊️ :
ni 2010 acha kudanganya watu
2026-10-14 06:23:09
1
ayobow56
ayobow56 :
ukiangalia katika wafalme hao ote wameshindwa kulinda ufalme wao kabaki alikiba fally pupa 2baba nae kaisha Nigeria kazeeka
2026-10-14 16:32:00
0
vie.twenty
Vie twenty :
🥰🥰🥰🔥
2026-10-14 07:08:04
1
user7862722480543
kalunga :
👍👍👍
2026-10-13 20:48:00
2
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About