@official.tuuga: #Huyo bint alimsaliti jamaa siku moja kabla ya harusi alimuaga anakwenda saloon kumbe alikuwa kwa mchepuko wake. Ambaye ni boss wake kazini. Na mshkaji akaja kugundua baada ya watu kumuambia. Akajua tu hakuna maisha kati yao. Na ilikuwa hamna namna sabu ndoa ilikuwa tayari na maandalizi ghalama kubwa waliitumia. Ikatakiwa ipitishwe tu ila jamaa moyoni alikuwa anaumia vibayaa..‼️‼️‼️‼️❓
Ila bora walikuwa na uvumilivu hadi tukamaliza kula🥹
2026-10-14 14:52:09
361
Joyce James :
mwanamke akimsaliti mwanaume wanaachana ila mwanaume akimsaliti unaambiwa vumilia 🤣🤣🙌
2026-10-14 16:00:14
106
Random.tz :
Me nisingekuja. Actions have consequences, wakati mwengine acha mtu apambane na consequences za actions zake.
2026-10-14 20:22:29
0
Linda ❤️ :
kwani walilazimishwa kufunga ndoa??
2026-10-14 07:26:16
311
Manywere No 1 :
kama mm tuu tumefunga ndoa week moja tumeachana
2026-10-14 09:19:09
99
Bleden♍ :
na hapo aliyefanyiwa tukio lazma ni bi harusi
2026-10-14 10:02:23
164
neillo - JD♥️ :
guys jifunzeni kusoma caption 😂
2026-10-14 15:21:59
0
威廉 :
That feelings🙌🏾🥲
2026-10-14 17:48:13
0
Safina John :
mwanaume kwann asikilize maneno ya watu, kukosa tu uaminifu😂😂
2026-10-14 13:02:58
27
mee :
Wanyew wakitusaliti raha wanataka tuwavumilie milele 😏 ila men 😂
2026-10-14 14:15:47
17
MOON_Lampard :
Nikkah Muslim pray for a short Nikkah
2026-10-14 11:52:27
0
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋♀️ :
Nimejifunza kitu sahv sitafunga ndoa kwanza 🫴
2026-10-14 13:14:20
17
🦋Reeny🦋🌸 :
Hv Nikwann hawakutanagii siku zote wanaenda kukutana Leo kabla ya harusi najiulizaga mpk sipati jibu mm🙌🙌🙌🥺
2026-10-14 11:35:36
22
tinna Samson :
au alichaguliwa mke na wazazi
2026-10-14 07:29:59
25
Jonas Chima :
watu wambea walimwambia wa nn sasa ata kama
2026-10-14 09:02:57
21
. :
Mimi ndoa haiwezi kufungwa, tena michango ikikaa vibaya naondoka nayo yote kabla ya ndoa
2026-10-14 12:11:21
14
Mte :
Sasa hapo si kuna gharama nyingine za kuivunja hiyo ndoa kisheria ni bora wangesitisha tu kabla
2026-10-14 10:10:49
14
The French Wife🇹🇿💍🇨🇵 :
Marriage is not for the weak people
2026-10-14 14:38:57
3
Ms frolah💕 :
watu wana watu wao🙌🙌
2026-10-14 12:54:40
9
FIFO :
Kama hujawah pitia uchovu wa hiyo siku unaweza sema wamenuniana. Hapo unaweza kuta kuna ndugu wameshawatibua na wamekosa mtu wa kuwaambia wayaachie watabasamu. Hiki kipindi huo kina majaribu mengi sana mpk inafika siku husika unatamani iishe tu maishe mengine yaendelee....
2026-10-14 10:50:36
10
🥰🥰 :
saluni aliendaje na wakati bi harusi anapelekwa saluni asubh siku ya harusi ,yeye aliendaje kabla
2026-10-14 11:03:32
5
Monna store🥾👞👠💕 :
Si yule dada Dorcas cjui na nan yule au nimemfananisha
2026-10-14 11:23:22
12
Magesa Nyawaye :
kisalitiwa ni kubaya ukijua hii hatari sana
2026-10-14 09:26:07
11
KINJENJE🫶 :
daah mim nicngefik kabis ukumbin asee
2026-10-14 09:39:37
5
W_dee@sisy_bee :
20/20 najua mko huku
2026-10-14 13:30:01
2
To see more videos from user @official.tuuga, please go to the Tikwm
homepage.