@voco_tv: Mjumbe wa Shina Namba Moja, eneo la Mbagala Kingugi kwa Dumbalume, Abdalah Mohamed Mtumwa, amefunguka kuhusu mkasa wa mtoto Amour Abdullazack, mwenye umri wa miaka mitano, aliyepotea Jumamosi, Oktoba 10, 2026, na baadaye kukutwa amefariki dunia.Akisimulia mkasa huo, mjumbe huyo ameeleza kuwa mwili wa mtoto huyo ulikutwa Jumatatu, Oktoba 12, katika dampo la Modesiti, ukiwa ndani ya kiroba kilichokuwa kwenye mfereji. Mwili huo ulidaiwa kugunduliwa na mtu aliyekuwa akiokota makopo katika eneo hilo.
VOCO TV
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 20:29:40 GMT
Music
Download
Comments
mamuuh peace :
jmn uyo wa baba wa kambo sio wa mbagala mbona mnatuchanganya
2026-10-13 22:39:45
7
Naa :
hizi ndio media uchwala adizozitaka madam Rita
2026-10-14 06:53:54
3
Amos Mpilimi :
mara pwani mara mbagara mara baba akambo mara nn mnatuchanganya sana yote kwa yote MUNGU ailaze mahala pema pepon roho ya amrehemu
2026-10-14 12:10:52
1
mom farhan💙 :
msizue taharuki uyu mtoto wa mbagala jmn ni amour
2026-10-14 01:37:58
4
Glory Floriana :
pole nshndw kuelw mungu ndo akmu
2026-10-14 17:07:07
1
shufaah :
Jmn shemej yangu
2026-10-14 12:29:02
1
Nation Mhipa :
nyie media munataka viwaz tu mahana munatuchangany
2026-10-14 10:59:02
1
user4662343078184 :
usituchanganye bhn kama amujui muulize
2026-10-14 14:18:34
1
rehem kiwangl :
haya mambo Kwa kweli siyaelewi hta kidogo wivu wa mapenzi baba na mama kuwawa mtoto sijaelewa
2026-10-14 17:25:02
1
Zabibu Mauba :
Hapana watanzania kwa kukoroga mambo?
2026-10-14 03:29:31
1
MOMY RUMAITHA :
sio uyo uyo wa mbagar
2026-10-13 23:05:55
2
Saleh Likonda :
dogo pole sana kwa msiba wa mtoto wako
2026-10-14 10:59:04
2
MAYA🥰 :
Hv hii media kwann isikamatwe inachangny habar yy mwenyew anatafut habar kwa wana habar
2026-10-14 08:18:05
1
REY_SAVAGE🦋 :
WAongo hawajui kitu watu wanapenda kujiamulia mambo
2026-10-14 05:22:49
1
miss T🥰💞 :
mnachanganya habar
2026-10-14 03:10:20
1
@Hezal _bell🦋 :
huyo amor ni wambagala ..yule mwengine ni wa chalinze na anamiaka 10 .yuko darasa 3 ndio alieuliwa na baba wakambo .hao ni watoto wawili tofaut
2026-10-14 11:50:20
1
user9777221051220 :
😭😭😭 Pole sana
2026-10-14 03:15:11
0
Nation Mhipa :
mbona uyo kweny picha xi ndo baba mzazi
2026-10-14 10:56:30
0
Sophia Msumi :
daaah
2026-10-14 12:20:51
0
sasha :
jamani mbona mnazua ajausika baba hapo unachanya maelezo
2026-10-15 08:49:36
0
Sophia kadoda :
kupenda kuchanganya mambo tu
2026-10-14 05:37:49
0
Nana💘love077 :
taharifa mbili tofauti jmn Baba WA kambo mkoa pwani chalinze.na uyu kwenye picha NI mbagala Kwa dumba jmn 😭 kama taarifa ujui usipost
2026-10-14 01:45:05
1
OZIL MOMY :
jamana achen kuchanganya mada
2026-10-14 08:18:05
0
@Hezal _bell🦋 :
midia uchwara
2026-10-14 11:48:04
0
To see more videos from user @voco_tv, please go to the Tikwm
homepage.