inafika mahali kuimba siwez kuomba siwez nalia tu sasa
2026-10-14 17:38:17
64
jeni :
eee mungu nipe ujasil wa kuimba wimbo huu is pain in my heart oooh lord
2026-10-14 06:12:38
32
Gaél Mashirane Josue :
very nice songs
2026-10-15 10:29:13
0
PENINA :
Mungu bado sijachoka kusumbiri mungu najua ipo siku utanipa mume mungu mwenye nguvu
2026-10-14 17:33:05
33
Clara😍 :
baba Bado sijachoka baba ninaisubir Ile siku Moja ya mafanikio yangu uliyopanga baba nikumbuke kama ulivyo mkumbuka yule mwanamke aliye tokwa na damu kwa miaka kumi na mbili baba😪🙏🙏
2026-10-14 16:28:46
31
carol k :
Heard this song first time in 2024 during evening devotion at heaven's gate.it comes from Jeremiah 32;27 behold i am the Lord of all human kind,is there anything too hard for me "
2026-10-14 20:02:10
1
brown :
ameen[Pray][Pray][Pray]
2026-10-14 10:17:15
0
Happyness 55 :
Eee Mungu nipe moyo wa ujasiri wa kukabiliana na changamoto yanayonikabili
2026-10-14 12:03:10
26
kipenzi.love❤️🇵🇸🇧🇭🇶🇦🇨🇦 :
my situation right now 😭😔
2026-10-14 21:27:09
1
Janeth Daudy :
Aminaaaa[Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-14 13:08:00
1
Sarah eeeer :
nyimbo yangu pendwa
2026-10-14 11:18:38
4
Aizza collection💇🤍 :
I needed this 🥹🫂 barikiwa sana 🤍🙏
2026-10-14 17:49:08
1
Janeth Bulashahu :
nimesoma koment nyingi ila ote tunamhitaji huyu MUNGU eeeh MUNGU nakuomba kutuna na sisi ote tunakutaji baba yetu Amina 🙏🙏 🙏🙏
2026-10-15 09:14:02
2
Walid Simail :
inafika mahali nalia tuuu sijui niombe nn
2026-10-14 19:35:42
3
happiness :
JAMAN NATAFUTA KAZI WAPENDWA
2026-10-14 21:44:18
1
Irene Zakaria :
naamin kuna siku utanpa mume aliye mbola kwangu amen
2026-10-14 21:24:12
3
anitha :
naomba mungu baba unipe kukutumikia zaidi babab naomba ukanipe roho mtakatifu baba
2026-10-15 04:04:15
1
Kopafasta_1 :
Amina 🙏🙏🙏
2026-10-14 01:55:29
4
mariam joseph :
aminaa
2026-10-14 11:50:51
0
Angelina Tabalo :
maneno hayo aliyatamuka nabii yeremia akiwa anapitia mateso makali aliamini Mungu anaweza hata katika hali hiyo nasi tukipitia magumu bado tumtukuze Mungu bila shaka atatutoa katika magumu hayo
2026-10-15 10:23:09
2
Anastasia Peter :
hakuna jambo Mungu asiloweza lakin dhambi zinatutenga na Baba yetu,Yesu tusaidie
2026-10-14 13:20:20
4
Ngonyan phidea :
naipenda sana hii nyimbo lakin nashindwa kuipata
2026-10-14 11:07:02
4
khaisam💫💫 :
nipe nguvu mungu wangu
2026-10-14 10:19:43
2
Eddoh Kim's@❤️ :
Maumivu ni makali unapitia hadi unakosa cha kuomba unasema MUNGU angalia moyo wangu
2026-10-14 22:25:28
1
To see more videos from user @sintiadumba2, please go to the Tikwm
homepage.