@millardayo_: FC Barcelona imeendelea kuonyesha makali yake katika Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kuichapa Galatasaray mabao 4-1. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Joao Cancelo dakika ya 43, Fermín Lopez dakika ya 50, Anthony Gordon dakika ya 53 na Karim Adeyemi dakika ya 65, huku Aleksandr Batrakov akiifungia Galatasaray bao la kufutia machozi dakika ya 28 #MillardAyoUPDATES