May Allah grant you wat your hearts desires .....amazing wallah
2026-10-15 10:49:02
0
salhadmpoz :
ila aunt mzur hata awe bila make up
2026-10-14 07:51:46
47
trinamuyat :
aunty na baba nono you guys are amazing you made me 😭😭😭 my mouth is dried may the almighty grant you more success 🙌🙌🙌🙌your children will grow well with good manners soshalipi♥️♥️♥️♥️♥️
2026-10-15 09:29:37
0
sweet laty :
Ila Mungu akikupa soulmate wake pepon kuingia n rahisi
2026-10-14 08:20:07
25
bob :
I like this really 🥰
2026-10-15 08:17:03
0
cayla❤️💋 :
kusa kaka aendelee kukubariki una moyo wa dhahabu
2026-10-14 05:03:48
111
Janeth Winston :
I appreciate this family they show true love to other people may God bless them more
2026-10-15 06:55:12
1
♥️de cute👄 :
na mim nakuj
2026-10-13 21:57:47
6
nay’slover❤️🥰🫶🏻 :
Nimefurahi mpaka nywele zimesisimka jamani azidi kuwaongezea mlipotoa💯💯🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-10-14 07:40:36
61
BMKHANY-TZ :
Mungu awabarik
2026-10-14 01:45:05
18
HAMMY J🤑 :
maisha yanatakiwa yaende hivo ukipata na wengine wapate kidogo chako[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-14 06:39:31
6
Rosehussen :
mung akuzidishie barak zikufuat kam mvua madamu
2026-10-14 05:49:27
14
zulfa :
vizuri kwa unachokifanya ila lkn uislamu unakataza kufanya ria,toa iwe siri yako na mola wako hata wakisema mbona unafanikiwa wakikufata utawambia ili ufanikiwe ni lazima uwahirumie wasio nacho au toa msaada kwa njia anayoiridhia Allah (s.w),bc nayeye mungu atakuruhurumia kwani malipo ya sadaka na zakka huwa yanakasi kwa kupata mafanikio ya,unambiwa ukitoa zakka na sadaka ndio chanzo cha kufanikiwa dunian na akhera,napia usipotoa zakka na sadaka ndio chanzo cha kuangamia dunia na akhera,kwan zakka na sadaka ukitoa inakutakasa nafsi
2026-10-14 13:08:08
6
Sarah Andrew :
Tn mtu akisema Mungu akubariki unabalikiwa kwel kwel
2026-10-15 14:55:33
0
KSB9Y TZ :
Maashallal
2026-10-14 04:26:14
0
pretty rahya :
jamani mna roho nzuli
2026-10-13 22:42:39
10
Vanessa Mlamba :
mungu.awa.epushe.namabay🥰
2026-10-13 22:57:44
6
Tabithajohson :
Mmemsikia huyu mama kasema Mungu akubariki😢😢🙏🙏
2026-10-14 11:30:39
8
Mwanetu Tony 04🦅 :
Kuna mama hapo kasema mungu awabariki sana sijasikia maneno ila nimeona mdomo ukunena Hilo neno alilosema na likawabariki kweli🙏🙏 amina
2026-10-15 13:30:31
3
Vanessa☘️☘️❣️ :
mungu awabaliki mara dufu[Pray][Pray]
2026-10-15 07:59:12
1
Faa Diorgen :
🥰🥰 good family jamani Mungu awape zaidi mnachotaka
2026-10-14 12:57:06
0
kizzy_19 :
Mungu awabarik🙏🙏🙏
2026-10-14 11:36:46
2
Sophia John :
ndo maan m nawapenda
2026-10-14 03:13:40
4
wardaefuj1p :
mungu awazidishie jamn kusah na aunt
2026-10-14 07:07:06
2
To see more videos from user @official_idrissy, please go to the Tikwm
homepage.