@calistisimba: Wazanzibar waomba muungano kuvunjwa #muungano #taganyika #zanzibar #nyerere ##tanzaniatiktok

calistisimba✓
calistisimba✓
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 13 October 2026 22:48:38 GMT
145568
9460
1628
612

Music

Download

Comments

john.123898
21 savage :
wangejua ambavyo atuwapendi
2026-10-14 07:42:17
634
1919prince
Patrick :
wakivunja muungano si ndo wanamchukua na huyu bibi Yao au sijaelewa
2026-10-14 07:35:58
1044
chriskid450
🚧🛣chris travell🦺🦺🛣🐇🚚 :
ngoja tuchukue umeme wetu naona uhuru umezid😂😂😂
2026-10-14 06:30:07
454
joho.am5
john muwindaji :
talaka hatutoi 😂😂😂
2026-10-14 04:56:29
342
irenemussa06
leeny :
🤣 chakufanya ongeeni na Nyerere akikubali sawa
2026-10-14 06:35:52
459
janeth.nova3
madam 🇹🇿 :
Na deni la taifa tugawane pasu😂😂😂
2026-10-14 10:17:48
196
morganine77
MORGANINE 💙 :
iyo ni nchi kisiwa
2026-10-14 07:51:35
168
amorce525
amorce climber🇹🇿 :
deni la taifa ni kwilio 1 msijisahaulishe 😎
2026-10-14 08:19:26
144
abdulothman68
smille killer :
tulipen den la nchi kwanz alafu muone kama sis tunataka uwo muungano....
2026-10-14 05:06:59
177
the37114
The 👸 :
hawajierewi hawaaaaw[Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-14 07:33:36
3
germy_rial
Mama Airo ❤ :
turudishieni umeme wetu kwanza [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 17:43:39
0
ndewa30
Ndewa :
siee wenyewe hatuwatakiiiiiiii
2026-10-14 07:05:17
45
jey23104
Jey💧 :
Lipeni deni la taifa ndo tuwaache😂
2026-10-14 11:28:33
45
2face073
swahiba_Nasso🤞 :
😆mnataka kutuachia deni la taifa 😂hili ni letu sote ndugu zetu, Alamsiki😁
2026-10-14 12:51:01
22
kijanx
@ :
saw muache
2026-10-14 16:33:40
0
deepapy9
Dee🐉papy💫 :
wanachekesh😂😂😂😂
2026-10-14 08:33:36
11
ireni.matiasi
M love💓🇹🇿 :
hiii nayo ya lini et
2026-10-14 07:43:03
2
janeth83804
janeth😇😇 :
Mi kazi kusoma coment nacheka vip 😂😂
2026-10-14 13:26:15
9
officialelly92
E L L Y :
acheni zenu mnataka tujiite Tanganyika😁😁😁
2026-10-14 06:59:54
151
user1761473693303
heppiy :
tukateni umeme wetu
2026-10-14 07:00:00
20
nollymike
Nolly Michael 🫧🍂 :
Huyo dada anaesema tunaenda kujiuza Zanzibar sijamuelewa 😂
2026-10-14 09:34:52
115
grace_kija
grace_kija :
kwaiyo muungano ukivunjika na mama anarudi kwao sio
2026-10-14 09:52:23
108
barakajoanes
Baraka Joanes :
akuna kuachana
2026-10-14 04:54:41
32
tyner.mataro
Tyner Mataro :
kwanza meneja wa Tansco uko wapi em Kata umeme siku moja baba nakuomba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-14 05:29:48
105
mathews_plan
Mathew_07 :
asa mtapata wapi umeme
2026-10-14 06:43:33
20
To see more videos from user @calistisimba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About