@coolnews24hrs: ❤️🐐 Imagine umepanga kila kitu kwa siri, moyo unadunda kwa kasi, halafu unamkabidhi mrembo wako mshada mkubwa wa maua usiku wa Barcelona ukimuomba rasmi awe wako wa maisha... 💐✨ Wakati dada anatafakari akubali au akusumbue kidogo, ghafla kwa nyuma anapita mtu kwa utulivu kabisa, ukikaza macho kumbe ni The GOAT wenyewe, Lionel Messi! 😲⚽ Swali ni moja tu: Dada alikubali kwa sababu ya maneno matamu au kwa sababu Messi amekuja kuwa shahidi wa hili penzi? 😂🙌🏽 Hii bahati haitakaa itokee tena duniani! 🌍❤️ @fortune_essence_tz @fortune_essence_tz Follow @coolnews24hrs For more 🙏 #LionelMessi #LoveProposal #viralreels #TrendingNow #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp