@elisha.magesa: kisa cha dereva roli aliyempa rift mrembo njiani bila kujua kuwa sio mtu mzuri. 🙏Anza salama, maliza salama👋 #scarystories #horrorstories #truckdriver #roadlife #fypage
Aaaah aaah sio pow kabisa alooo😂😂😂😂😂mungu ana manguvu sna
2026-10-14 05:02:07
56
Hunter Jr :
Ila jamaaa kwa drama [Tears of joy]
2026-10-14 05:42:50
0
SHABI ALLY TRANSIT DRIVER🇹🇿 :
Daaaaah Mdala ana kwato[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-14 09:54:50
1
ramoyu kim :
uongo bhn!!!!!
2026-10-14 11:35:45
7
bite mshirika :
mmmh pole
2026-10-14 03:48:16
3
Fatmah🌹 :
Bora angesema mtu mwingine we sikuamin😅😅
2026-10-14 11:28:56
7
Anusiata Richard :
jamani hay mamb yambo mm nilimwona mwanamke 2020 kwenye patoni anakwato lakin usoni ni mdada mrembo sana ilikua saa nne usiku. sitasahau nimwangalia usoni nikaona macho kama ya paka na tulikua tumekaa. nikaona moyo unaenda mbio yaan kutoka tu pale posta mpka feli niliona nisafari ya kutoka mbeya mpka.
2026-10-14 05:23:37
8
Official-yankee :
mbona barabara za Iringa zina mauzauza muda wa usiku
2026-10-15 14:11:26
2
Erick4rd :
Umeanza kutufunga kamba afsa unatuchukuliaje kwa mfano😌
2026-10-14 04:45:40
14
roy joy🤔🌴🌸🌸 :
igumbilo pale ndiukaa mbaka lusingo weee mm nilikuw nimetoka kwa ukumbi usiku wa 7 mmmnh.... tulikutana na Mzee ambaye aeleweki ni bibi au Babu katikat ya barabar...😅 driver be careful
2026-10-14 04:44:57
5
🫧Irene 🫧 :
Xaxa mnabixha mlikuwepoo 😅😅
2026-10-15 04:56:14
1
Maxwell :
be careful all drivers 😳
2026-10-14 03:52:17
7
Phinah :
hee ufihilehunoo
2026-10-14 14:10:15
1
dogo :
pole sana
2026-10-14 13:49:25
1
Maryndeto98! :
ndiuka hapo pa moto sana mida ya usiku wa manane
2026-10-14 04:12:54
7
aggy tz :
Mimi siwezi bisha coz kaka angu aliwahi kutana na mtu anatembelea kwato ni pale mlima wa ipogoro iringa ilikua saa7 uck Alikua na abilia waliselenduka wote kwa pressure baada ya apo kaka akainuka mbiooo kulud nyumbn akafika anahemea Hana nguvu ko ivi vitu vipo jaman sio utani ...
2026-10-15 09:10:15
1
dalali wa viaz #njombe tz :
afisa usafirishaji
2026-10-14 15:04:59
1
Salama :
wa kwetu huyo
2026-10-14 11:47:28
1
J$ MTWLπ :
alivyo serious kaka 🙏🙏🙏
2026-10-14 13:21:11
1
Mory kifyas :
Ila afisaaa
2026-10-14 19:02:21
1
kinju master :
mbn mikumi sikumuon?
2026-10-14 16:50:02
1
ROBY LOVE :
je nauli alitoa au
2026-10-14 15:22:56
1
To see more videos from user @elisha.magesa, please go to the Tikwm
homepage.